kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Mnachukulia poa sana Spain lakini wanaweza kumzuia yeyote hapo kirahisi mnoBrazil,Argentina ma Germany -moja hapo lazima itachomoka na WC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnachukulia poa sana Spain lakini wanaweza kumzuia yeyote hapo kirahisi mnoBrazil,Argentina ma Germany -moja hapo lazima itachomoka na WC
Wazee wengi kikosi kinaenda ukingoni ,kama kile cha Germany cha EuroMnachukulia poa sana Spain lakini wanaweza kumzuia yeyote hapo kirahisi mno
Kwa mantiki hiyo hata Brazil kuna wazee Marcelo,Miranda,Silva,Paulinho,Wazee wengi kikosi kinaenda ukingoni ,kama kile cha Germany cha Euro
We umepanda gari ya Spain sio [emoji23]Kwa mantiki hiyo hata Brazil kuna wazee Marcelo,Miranda,Silva,Paulinho,
GERMANY khedira,Kroos,Ozil,Boateng,Gomes, Neur,
Argentine ndyo 30+ kalibia wachezaji 8 wa first team
Spain Ramos,Pique,Busquet,Inesta,Silva na mchanganyiko wa damu changa kibao
Tukutane Russia ila kuna dogo jana ameingia anaitwa Rodrigo Hernandez namuona ni new edition ya busquets kabisa dogo fundi kinoma batca wamchukueWe umepanda gari ya Spain sio [emoji23]
Ok anyway wana mpira mkubwa sna ni moja ya my favorite Team ila this time my instincts WC litaenda South America any country
Yule Kocha Wa Ujerumani Ni Hatari Sana Wawe Makini NayeKuna injini za mjerumani wala hazima makuu!!! kwa taarifa yako wana vikosi kama vitatu hivi!! je unajua kombe la confederation cup kikosi B ndio kilichukua?
Jana kamasi zilikuwa zinamtoka alkutana na sexy footballYule Kocha Wa Ujerumani Ni Hatari Sana Wawe Makini Naye
Mbona uingereza kila world cup huwa ni miongoni mwa team za kwanza kufuzu na huwa hafanyi vizuri world cup au hujui???? ..... unaifahamu japan??.Ukifuzu wa kwanza inamaana una uwezo,Hiyo haina ubishi hata mtoto mdogo analijua hilo.Argentina kwa ubora huu mnaoupigia chapuo hapa,haikutakiwa kufuzu kwa taabu kiasi kile,Ilitakiwa waonyeshe uwezo na wafuzu bila presha kama wenzao,Unasumbuliwa na vitimu kama Bolivia unataka tukuamini utaifunga Germany?..
Hivi dogo Cebalos yule walimchukua Madrid ila mpenda Barca naye walimuita National team?Tukutane Russia ila kuna dogo jana ameingia anaitwa Rodrigo Hernandez namuona ni new edition ya busquets kabisa dogo fundi kinoma batca wamchukue
Hajaitwa this timeHivi dogo Cebalosyule walimchukua Madrid ila mpenda Barca naye walimuita National team?
Miaka yote Argentina amekuwa kikosi bora lakini kuchukua ndoo imekuwa ni ngumu sana, 2014 ndio ulikuwa mwaka wake higuain akawa anaruruka pale mbele, mwaka huu ni Brazil,Spain au German.Jamani ndugu zanguni!! Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee...
View attachment 722613
Na hiki ndio kikosi ambacho bwana Sampaoli atakuwa amekiandaa kwenda kumaliza kazi nchini Urusi.
GOALKEEPERS
SERGIO ROMERO (MAN U)
NAHUEL GUZMAN (TIGRES)
DEFENDER'S
MARCOS ROJO (MAN UNITED)
OTAMENDI (MAN CITY)
MERCADO (SEVILLA)
MUSACCHIO (AC MILAN)
RONCAGLIA (CELTA DE VIGO)
FUNES MORI (EVERTON)
ZABALETA (WEST HAM UNITED)
EMMANUEL MAMMANA
MIDFIELDERS
DI MARIA (PSG)
MASCHERANO (CHINA)
BANEGA (SEVILLA)
LUCAS BIGLIA (AC MILAN)
AUGUSTO (ATL MADRID)
ERICK LAMELA (TOTTENHAM)
NICOLAS GAITAN (CHINA)
KRANEVITTER (ZENIT)
JAVIER PASTORY (PSG)
EDWARDO SALVIO TOTO (BENFICA)
FORWARDS
LEO 10 (BARCELONA)
PAULO DYABALA (JUVENTUS)
KUN AGUERO (MAN CITY)
MAURO LCARDI (INTER MILAN)
HIGUAIN (JUVENTUS)
ANGEL CORREA (ATL MADRID)
LUCAS PRATTO (RIVER PLATE)
Katika hiki kikosi, kwa upande wangu nimependelea first eleven iwe hivi...je wewe ungependaje?
FIRST ELEVEN
GOALKEEPER_______/\____DEFENDER'S
SERGIO ROMERO____<>____MARCOS ROJO
_______________________NICOLAS OTAMENDI
_______________________MERCADO
_______________________RONCAGLIA
MIDFIELDER'S______/\_____FOWARDS
MASCHERANO________<>______LEO MESSI
ANGEL DI MARIA____<>______PAULO DYBALA
ERICKLAMELA_______<>______MAURO LCARDI
Na katika LINE UP ni ipi ungependelea iwepo?
1
View attachment 722599
2.View attachment 722607
3.View attachment 722602
SUBSTITUTION YANGU
GOALKEEPER__________/\____DEFENDERS
NAHUEL GUZMAN______<>_____MUSACCHIO
___________________<>_____FUNES MORI
___________________<>_____ZABALETA
___________________<>_____MAIDANA
MIDFIELDERS________/\___FOWARDS
AUGUSTO____________<>___KUN AGUERO
JAVIER PASTORY_____<>___HIGUAIN
LUCAS BIGLIA_______<>__ANGEL CORREA
ARGENTINA COACH, GEORGE SAMPAOLI
Kwani aguero alishakuwa na msaada kwenye timu ya taifa lini?..Hakuna hata anachokifanya kule mbele..Ingekuwa nchi nyingine ashapigwa chini siku mingi
Miaka yoooote anamsaada gani kwe ye team?..Au ndo u star ndo sababu anaitwa.Ingekuwa nchi zinzzojielewa ashapigwa chini siku mingi.Yaani ni garasa tu kule mbele,Icard acheze balada ya hili garasa Aguero
Brazil,Argentina ma Germany -moja hapo lazima itachomoka na WC
Nani kaongezeka hapo so wote walikuwepo tournament zote zilizopita