BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Miaka kadhaa wameshindwa vipi this time uwaone wanaweza?
Ina maana hata Germany Machine hujaipa Nafasi timu yenye vikosi hatari vyote watoto kwa wakubwa
Labda England haishiriki mkuuMiaka yote Argentina amekuwa kikosi bora lakini kuchukua ndoo imekuwa ni ngumu sana, 2014 ndio ulikuwa mwaka wake higuain akawa anaruruka pale mbele, mwaka huu ni Brazil,Spain au German.
Hujui mpira
Hiki kikosi kwani kinatofauti gani na kile kilichoshiriki Fainali za Brazil?
Ok mkuu,, ila hawa jamaa huwa hawana bahati hawana tofauti na Uholanzi,, kipindi ambacho huwa wanavikosi bora mrejesho wake huwa tofauti sana,,hawaonesh kile ambacho mashabiki wao tunachotegemeaKina utofauti kidogo baadhi ya players hawakuwepo
- LCARDI
- DYBALA
- BUSTOS
- MAIDANA
- MAMMANA
- SCOCCO
- CRISTIAN PAVON
- ANGEL CORREA
- MANUEL FANZINI
- EDWARDO SALVIO TOTO
- CHRISTIAN PAVON
NAMBA 1-6 hawakuitwa,, but hao wengine I'm not sure kama walikuwepo
Ok mkuu,, ila hawa jamaa huwa hawana bahati hawana tofauti na Uholanzi,, kipindi ambacho huwa wanavikosi bora mrejesho wake huwa tofauti sana,,hawaonesh kile ambacho mashabiki wao tunachotegemea
ni bao 6 wewe unasema 4Hispania wametishaaaaaa 4G
mpaka sasa[emoji23][emoji23]
Aisee ulichoongea ndio kimedhihirika leo.hicho kikosi labda kwenye playstation ndio kitwae ubingwa, sisemi kwamba Argentina ni wabaya, ila kimepangwa kitoto, yaani banega na lamela ndio wakabaji? timu haina uwiano wachezaji viungo kwenda mbele wote wanataka kukabiwa.
Hawa wote ni wachezaji wa benchi hakuna hata mmoja anayeanzaKina utofauti kidogo baadhi ya players hawakuwepo
- LCARDI
- DYBALA
- BUSTOS
- MAIDANA
- MAMMANA
- SCOCCO
- CRISTIAN PAVON
- ANGEL CORREA
- MANUEL FANZINI
- EDWARDO SALVIO TOTO
- CHRISTIAN PAVON
NAMBA 1-6 hawakuitwa,, but hao wengine I'm not sure kama walikuwepo
Japokuwa ni mechi za kirafiki, lakini kufungwa Sita kunatoa ishara mbaya kwa Argentina.full time Spain 6-1 Argentina