Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee...

Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee...

Miaka kadhaa wameshindwa vipi this time uwaone wanaweza?

Ina maana hata Germany Machine hujaipa Nafasi timu yenye vikosi hatari vyote watoto kwa wakubwa

Rafiki yangu MLALEO umepotea mno siku hizi. Huwa nakucheki tu mataifani kule unatupia ndondo za uhakika 😀😀
 
Miaka yote Argentina amekuwa kikosi bora lakini kuchukua ndoo imekuwa ni ngumu sana, 2014 ndio ulikuwa mwaka wake higuain akawa anaruruka pale mbele, mwaka huu ni Brazil,Spain au German.
Labda England haishiriki mkuu
 
Hiki kikosi kwani kinatofauti gani na kile kilichoshiriki Fainali za Brazil?

Kina utofauti kidogo baadhi ya players hawakuwepo
  1. LCARDI
  2. DYBALA
  3. BUSTOS
  4. MAIDANA
  5. MAMMANA
  6. SCOCCO
  7. CRISTIAN PAVON
  8. ANGEL CORREA
  9. MANUEL FANZINI
  10. EDWARDO SALVIO TOTO
  11. CHRISTIAN PAVON

NAMBA 1-6 hawakuitwa,, but hao wengine I'm not sure kama walikuwepo
 
Ok mkuu,, ila hawa jamaa huwa hawana bahati hawana tofauti na Uholanzi,, kipindi ambacho huwa wanavikosi bora mrejesho wake huwa tofauti sana,,hawaonesh kile ambacho mashabiki wao tunachotegemea
 
Ok mkuu,, ila hawa jamaa huwa hawana bahati hawana tofauti na Uholanzi,, kipindi ambacho huwa wanavikosi bora mrejesho wake huwa tofauti sana,,hawaonesh kile ambacho mashabiki wao tunachotegemea

Nikweli mkuu ningendako hawa jamaa hawanaga bahati aise. Wamekutana final mara ya ngapi but wanatolewa
 
Kina utofauti kidogo baadhi ya players hawakuwepo
  1. LCARDI
  2. DYBALA
  3. BUSTOS
  4. MAIDANA
  5. MAMMANA
  6. SCOCCO
  7. CRISTIAN PAVON
  8. ANGEL CORREA
  9. MANUEL FANZINI
  10. EDWARDO SALVIO TOTO
  11. CHRISTIAN PAVON

NAMBA 1-6 hawakuitwa,, but hao wengine I'm not sure kama walikuwepo
Hawa wote ni wachezaji wa benchi hakuna hata mmoja anayeanza
 
full time Spain 6-1 Argentina
Japokuwa ni mechi za kirafiki, lakini kufungwa Sita kunatoa ishara mbaya kwa Argentina.
Kwa mwendo huu nadhani mleta mada atakuwa amepata mrejesho kuhusu haya..

1/Ubora wa kikosi unategemea muundo wa kitimu wala sio uwezo binafsi.

2/Soka la kuchukua ubingwa wa dunia kwa sasa linachezwa na timu za Ulaya tu.

3/Kuchukua ubingwa wa dunia kunahitaji Defence nzuri na viungo wazuri na sio forward wakali.

4/Katikati ya timu bora za ulaya kama Spain, Germany, France na Belgium ni ngumu sana kwa Argentina kuweza kupenya.

Tunasubiri.....
 
Back
Top Bottom