Kwa kilichomtokea Niffer, naanza kupata mashaka kuhusu mafanikio ya kipesa ya hawa celebrity entrepreneurs wetu wa kibongo

Umamma na upotevu
Ni ujinga na upumbavu kujadili mafaikio ya Mtu tena kwa akili mgando kama mtoa mada tena kwa Binti... Nonsense kabisa
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mall gani ya chumba cha 6*9

Mkuu,
Kama wewe si mchawi wewe ni mshirikina na 'hater' unaeongelea mtu usiemjua.
Ni mbaya na dhambi kubwa hiyo unayoifanya.

Duka lake la Sinza tu halipungui SQM.200.
Na kwa taarifa yako hata ikiwa pungufu pengine kidogo sana.
Kodi ya pango pekeyake maeneo lililopo haipungui Tshs.Milioni 2/Mwezi.
Naongea kama mzoefu kwenye Biashara ya kupangisha na ninae lifahamu hilo Duka na maeneo lililopo.
Sijampangisha mimi hapo lakini siwezi nikakosea katika hilo..

Kama anayo mapungufu yake mengine tuyaongelee lakini hili la kutweza sehemu zake za Biashara mmh acheni urongo.
 
Kalagha baho......Wems ameishia wapi vipi Uwoya ule utajiri umekauka?

Hao watu ni maigizo usipoteze muda wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…