McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Kwa hili vibe nililoona mitaani leo. Mabanda ya mpira kujaa, kila mtu kuongelea mpira status na mitandao yote kuzungumzia kuhusu mpira nadhani ifike muda CCM ifute kabisa masuala ya mipira
Watu wanatakiwa wafocus na masuala ya kimaendeleo kama kilimo, uvuvi na ufugaji.
Haiwezekani taifa zima linashangalia watu 22 kupasiana mpira uwanjani.
Kwani hiyo mipira ina faida gani kwanza! Serikali fungieni