Kwa kilichotokea leo nashauri Serikali ipige marufuku masuala ya mipira nchini

Kwa kilichotokea leo nashauri Serikali ipige marufuku masuala ya mipira nchini

😂😂😂😂😂 I used to say this NGONO kufanya mapenzi ni ushetani
No ngono ipigwe marufuku, haiwezekaniMtu na akili timamu jitu zima Lina nyonya maziwa ya mwanamke Kama lijinga flani hivi, aibu Hanna unakaa uchi mbele ya mtu mwingine bad kidogo mtaanza Tmbea uchi barabaran
 
Unadamu ya Simba wewe, funguka tu kichapo kimesababisha umechanganyikiwa, umekuwa kama mtu aliye vuta moshi...
 
Hawawezi, mpira ni msaada mkubwa kwao.
Wakiiba trilioni huko, mnaletewa skendo pacome anaenda simba, mnasahau kila kitu
 
Back
Top Bottom