Mpira ni starehe ya maskiniWakuu,
Kwa hili vibe nililoona mitaani leo. Mabanda ya mpira kujaa, kila mtu kuongelea mpira status na mitandao yote kuzungumzia kuhusu mpira nadhani ifike muda CCM ifute kabisa masuala ya mipira
Watu wanatakiwa wafocus na masuala ya kimaendeleo kama kilimo, uvuvi na ufugaji.
Haiwezekani taifa zima linashangalia watu 22 kupasiana mpira uwanjani.
Kwani hiyo mipira ina faida gani kwanza! Serikali fungieni
Sisiem wanatamani Simba na Yanga zicheze kila weekend ili waendelee kutuibia vizuriWakuu,
Kwa hili vibe nililoona mitaani leo. Mabanda ya mpira kujaa, kila mtu kuongelea mpira status na mitandao yote kuzungumzia kuhusu mpira nadhani ifike muda CCM ifute kabisa masuala ya mipira
Watu wanatakiwa wafocus na masuala ya kimaendeleo kama kilimo, uvuvi na ufugaji.
Haiwezekani taifa zima linashangalia watu 22 kupasiana mpira uwanjani.
Kwani hiyo mipira ina faida gani kwanza! Serikali fungieni
Mpira ni sehemu maridhawa ya watawala kote duniani kuwazubaisha manyumbu wakati kodi zinapigwa na kutumbuliwa.
Manyumbu yote yako kwenye Kideo yanashangilia Kaptula ya Ally Kamwe. Wakati huo watawala wanapanga mikakati na mbinu za kijasusi za kutawala mpaka kiama.
Ni faida ya pande zote mbili. Mazombi na makondoo yanaleweshwa na mipira wakati majasusi yanatafuna keki kiulani. Ahsante Mungu nipo upande wa majasusi, japo mimi ni JASUSI UCHWARA.
Kula uliwe. Huwezi kula wewe tu na kupewa pombe za bure. Hata mabasha nao kuna kipindi wanatoa vinyeo ili wang'oe pisi kali.
Cc: adriz The Consigliere The Mongolian Savage Extrovert Balqior Mzee wa kupambania
Leo mama yenu alipiga simu? Kama alipiga na watu kumzomea basi mpira ufungiwe.
Halafu nimegundua kitu, wachambuzi wa mpira huwa wana akili sana kuliko wachambuzi wa siasa au wachambuzi wa kitaaluma.Sisiem wanatamani Simba na Yanga zicheze kila weekend ili waendelee kutuibia vizuri
Hii mada ya simba na yanga itaendelea kwenye media usiku wa leo, kesho asubuhi akina Hans Rafael wataendelea na jioni akina Oscar Oscar na Edo wataiendeleza
Halafu nimegundua kitu, wachambuzi wa mpira huwa wana akili sana kuliko wachambuzi wa siasa au wachambuzi wa kitaaluma.
Unaona vile anavyochambua mpira kama anaongea jambo la maana sana, anatoa mikakati na mapendekezo ya kushinda mechi kwa ufasaha haswa.
Lakini muite mtu yeyote akueleze kuhusu ujenzi wa Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere utashangaa. Ni mwendo wa "THE THE THE BWAWA, THE THE THE TANGANYIKA".
Ngono ,kubeti na pombe anasahau shida zake ama anatawaliwa kirahisi. Masikini anapenda pleasure kuliko kujua Kama mwanae anapata elimu Bora na huku Kodi anailipa Kila sikuMpira ni starehe ya maskini
Una elimu gani jamaa?Wakuu,
Kwa hili vibe nililoona mitaani leo. Mabanda ya mpira kujaa, kila mtu kuongelea mpira status na mitandao yote kuzungumzia kuhusu mpira nadhani ifike muda CCM ifute kabisa masuala ya mipira
Watu wanatakiwa wafocus na masuala ya kimaendeleo kama kilimo, uvuvi na ufugaji.
Haiwezekani taifa zima linashangalia watu 22 kupasiana mpira uwanjani.
Kwani hiyo mipira ina faida gani kwanza! Serikali fungieni
Wewe hufanyagi ngono?No ngono ipigwe marufuku, haiwezekaniMtu na akili timamu jitu zima Lina nyonya maziwa ya mwanamke Kama lijinga flani hivi, aibu Hanna unakaa uchi mbele ya mtu mwingine bad kidogo mtaanza Tmbea uchi barabaran