kaka hao ndio aina ya mashabiki tuliokuwa nao Tanzania.Umeanza lini kufuatilia mpira? Unashangaa kocha kushauriana na msaidizi wake? Unahisi msaidizi analipwa afanye kazi ipi?
KwahiyoLeo Robertinho kaonesha waziwazi kuwa hajui cha kufanya (kaishiwa mbinu) na kumuomba Mgunda ushauri. Hatua ya kwanza camera zikamnasa kuomba ushauri na kisha akaonekana Baleke kuingia nafasi ya Boko. Kadri muda ulivyozidi kwenda alionekana yupo frustrated na hajui hafanye nini. Camera kwa mara nyingine zikamnasa akiwa anaomba ushauri wa Mgunda ndipo akaingizwa Kibu. Goli lilipofungwa alinaswa tena na camera akiwa anamshukuru Mgunda. Kisha baadae kama kawaida yake kwenda kujisifu mbele ya mashabiki kwa kushangilia mbele ya mashabiki.
Kazi ya kocha msaidizi unaijua lakini we kiaziLeo Robertinho kaonesha waziwazi kuwa hajui cha kufanya (kaishiwa mbinu) na kumuomba Mgunda ushauri.
Hatua ya kwanza camera zikamnasa kuomba ushauri na kisha akaonekana Baleke kuingia nafasi ya Boko. Kadri muda ulivyozidi kwenda alionekana yupo frustrated na hajui hafanye nini.
Camera kwa mara nyingine zikamnasa akiwa anaomba ushauri wa Mgunda ndipo akaingizwa Kibu. Goli lilipofungwa alinaswa tena na camera akiwa anamshukuru Mgunda.
Kisha baadae kama kawaida yake kwenda kujisifu mbele ya mashabiki kwa kushangilia mbele ya mashabiki.
Mgunda yaan kwahuyu kocha haruhusiwi hata kuhamasisha wachezaji!Leo Robertinho kaonesha waziwazi kuwa hajui cha kufanya (kaishiwa mbinu) na kumuomba Mgunda ushauri.
Hatua ya kwanza camera zikamnasa kuomba ushauri na kisha akaonekana Baleke kuingia nafasi ya Boko. Kadri muda ulivyozidi kwenda alionekana yupo frustrated na hajui hafanye nini.
Camera kwa mara nyingine zikamnasa akiwa anaomba ushauri wa Mgunda ndipo akaingizwa Kibu. Goli lilipofungwa alinaswa tena na camera akiwa anamshukuru Mgunda.
Kisha baadae kama kawaida yake kwenda kujisifu mbele ya mashabiki kwa kushangilia mbele ya mashabiki.
Kuna watu ni wajinga sana.Umeanza lini kufuatilia mpira? Unashangaa kocha kushauriana na msaidizi wake? Unahisi msaidizi analipwa afanye kazi ipi?