vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Leo Robertinho kaonesha waziwazi kuwa hajui cha kufanya (kaishiwa mbinu) na kumuomba Mgunda ushauri.
Hatua ya kwanza camera zikamnasa kuomba ushauri na kisha akaonekana Baleke kuingia nafasi ya Boko. Kadri muda ulivyozidi kwenda alionekana yupo frustrated na hajui afanye nini.
Camera kwa mara nyingine zikamnasa akiwa anaomba ushauri wa Mgunda ndipo akaingizwa Kibu. Goli lilipofungwa alinaswa tena na camera akiwa anamshukuru Mgunda.
Kisha baadae kama kawaida yake kwenda kujisifu mbele ya mashabiki kwa kushangilia mbele ya mashabiki.