Kwa kilichowatokea Mamelod Sundowns nachelea kusema Simba SC ilikua Bora kabisa msimu huu

Kwa kilichowatokea Mamelod Sundowns nachelea kusema Simba SC ilikua Bora kabisa msimu huu

Kwa kikosi gani nashangaa makolo mnavyo tamba hivi kule Morocco mlicheza mchezo gani ? Hivi ile match ndo mna dai mli pambana kiume ? Kwamba ndo match yenu bora kwenye mashindano ? at least ile game na horoya ndo inaweza kua bora kwenu zingine mme cheza upuuzi tu
nut
 
Sitashangaa Wydad wakichukua kombe .na wote watakumbuka magoli Simba waliyokosa Taifa..
Simba walipaswa kufika fainali mwaka huu
Mpira haupo hivyo boss, kukosa magoli ni sehemu ya mchezo hata Wydad walikosa magoli pia
 
Back
Top Bottom