Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Mimi ni mpinzani yes naamini kwenye upinzani wa kuiondoa CCM madarakani ila kwa kinachoendelea kwenye uchaguzi wa CHADEMA ni wazi bado Tanzania hatujapata chama ambacho ni mbadala wa CCM
CHADEMA wanafanya mambo yale yale CCM wanayofanya tofauti yao hawana dola angalia mambo ya ovyo anayoyafanya Mbowe leo hii eti chama chake kikabidhiwe nchi
Juzi-juzi uchaguzi wa BAWACHA kura ambazo hazifiki hata 500 ila zilichukua masaa 48 na zaidi kuhesabu jiulize kweli watu kama hawa ndo uwape nchi kweli sababu watafanya hiki-hiki wanachofanya CCM
Nakuhakikishia huko CHADEMA kuna wakina Makonda na Sabaya wengi sana ni basi tu hawajapewa madaraka ya nchi.