Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Wala usijali ndugu. CCM tunafuata sana maneno ya Mwalimu Nyerere kuwa, "He cannot let his country go to the dogs"!Mimi ni mpinzani yes naamini kwenye upinzani wa kuiondoa ccm madarakani ila kwa kinachoendelea kwenye uchaguzi wa chadema ni wazi bado Tanzania hatujapata chama ambacho ni mbadala wa ccm
Chadema wanafanya mambo yale yale ccm wanayofanya tofauti yao hawana dola angalia mambo ya hovyo anayoyafanya mbowe leo hii eti chama chake kikabidhiwe nchi
Juzi-juzi uchaguzi wa bawacha kura ambazo hazifiki hata 500 ila zilichukua masaa 48 na zaidi kuhesabu jiulize kweli watu kama hawa ndo uwape nchi kweli sababu watafanya hiki-hiki wanachofanya ccm
Nakuhakikishia uko chadema kuna wakina makonda na sabaya wengi sana ni basi tu hawajapewa madaraka ya nchi
Chadema wahuniMimi ni mpinzani yes naamini kwenye upinzani wa kuiondoa ccm madarakani ila kwa kinachoendelea kwenye uchaguzi wa chadema ni wazi bado Tanzania hatujapata chama ambacho ni mbadala wa ccm
Chadema wanafanya mambo yale yale ccm wanayofanya tofauti yao hawana dola angalia mambo ya hovyo anayoyafanya mbowe leo hii eti chama chake kikabidhiwe nchi
Juzi-juzi uchaguzi wa bawacha kura ambazo hazifiki hata 500 ila zilichukua masaa 48 na zaidi kuhesabu jiulize kweli watu kama hawa ndo uwape nchi kweli sababu watafanya hiki-hiki wanachofanya ccm
Nakuhakikishia uko chadema kuna wakina makonda na sabaya wengi sana ni basi tu hawajapewa madaraka ya nchi
Hakuna demokrasia pale zaidi ya maigizo a.k.a kiini machoCHADEMA kuna wagombea watatu wanashindana.
Huo ndo ukweli mchungu ambao tunaamini siasa za upinzani hatutaki kuukubaliHapa Bongo mbadala wa CCM haupo. Ndo mana wengine hata kufatilia hatufatiliagi ukikaa chini ukatazama kwa maono ya mbali hata mkiwapa Nchi Chadema upuuzi utabaki ule ule. Ama utazuka mpya
Sasa huwa kuna uchaguzi, wale si wazee wa ndio tu , wakipigiwa ule wimbo wa hatujinyongi hatunywi sum biashara kwisha ,lazima taratibu zifuatwe hata uchaguzi ukichukua wikiMimi ni mpinzani yes naamini kwenye upinzani wa kuiondoa CCM madarakani ila kwa kinachoendelea kwenye uchaguzi wa CHADEMA ni wazi bado Tanzania hatujapata chama ambacho ni mbadala wa CCM
CHADEMA wanafanya mambo yale yale CCM wanayofanya tofauti yao hawana dola angalia mambo ya ovyo anayoyafanya Mbowe leo hii eti chama chake kikabidhiwe nchi
Juzi-juzi uchaguzi wa BAWACHA kura ambazo hazifiki hata 500 ila zilichukua masaa 48 na zaidi kuhesabu jiulize kweli watu kama hawa ndo uwape nchi kweli sababu watafanya hiki-hiki wanachofanya CCM
Nakuhakikishia huko CHADEMA kuna wakina Makonda na Sabaya wengi sana ni basi tu hawajapewa madaraka ya nchi.
Andaa wewe uzi wako alafu shusha nondo directUkiona mtu anaanza na "Mimi ni mpinzani..." au mie ni flani.....mmmh.
Kwanini usishushe nondo zako tu directly
CCM mlichofanya juzi kule Dodoma kumpitisha mgombea urais kidikteta na bila kura yoyote na hata aibu mnaweza kuwaambia CDM hawafai kushika dola kisa wanahesabu kura 500 kwa siku mbili. Ninyi mmehesabu kura ngapi za Samia na Mwinyi juzi?!Mimi ni mpinzani yes naamini kwenye upinzani wa kuiondoa CCM madarakani ila kwa kinachoendelea kwenye uchaguzi wa CHADEMA ni wazi bado Tanzania hatujapata chama ambacho ni mbadala wa CCM
CHADEMA wanafanya mambo yale yale CCM wanayofanya tofauti yao hawana dola angalia mambo ya ovyo anayoyafanya Mbowe leo hii eti chama chake kikabidhiwe nchi
Juzi-juzi uchaguzi wa BAWACHA kura ambazo hazifiki hata 500 ila zilichukua masaa 48 na zaidi kuhesabu jiulize kweli watu kama hawa ndo uwape nchi kweli sababu watafanya hiki-hiki wanachofanya CCM
Nakuhakikishia huko CHADEMA kuna wakina Makonda na Sabaya wengi sana ni basi tu hawajapewa madaraka ya nchi.
Kwani unafikiri Demokrasia ni rahisi unavyofikiria? Ili uchaguzi uwe wa kidemokrasia lazima ufuate hatua kama inavyofuatwa na Chadema. Kila mgombea lazima ajiridhishe kuwa wapiga ni halali ili kura ziwe za haki. Subiri upate matokeo sahihi.Mimi ni mpinzani yes naamini kwenye upinzani wa kuiondoa CCM madarakani ila kwa kinachoendelea kwenye uchaguzi wa CHADEMA ni wazi bado Tanzania hatujapata chama ambacho ni mbadala wa CCM
CHADEMA wanafanya mambo yale yale CCM wanayofanya tofauti yao hawana dola angalia mambo ya ovyo anayoyafanya Mbowe leo hii eti chama chake kikabidhiwe nchi
Juzi-juzi uchaguzi wa BAWACHA kura ambazo hazifiki hata 500 ila zilichukua masaa 48 na zaidi kuhesabu jiulize kweli watu kama hawa ndo uwape nchi kweli sababu watafanya hiki-hiki wanachofanya CCM
Nakuhakikishia huko CHADEMA kuna wakina Makonda na Sabaya wengi sana ni basi tu hawajapewa madaraka ya nchi.
CCM hakujawahi kuwepo na ushindani kwenye nafasi ya uenyekiti,umakamu mwenyekiti.CHADEMA kuna wagombea watatu wanashindana.
Nyerere huyu hutu aliyesababisha wananchi wakavaa viraka?Wala usijali ndugu. CCM tunafuata sana maneno ya Mwalimu Nyerere kuwa, "He cannot let his country go to the dogs"!
Pamoja na mapungufu yaliyopo, bado kwa cdm tunaona demokrasia kubwa kuliko iliyoko ccm.Hakuna demokrasia pale zaidi ya maigizo a.k.a kiini macho