Kwa kinachoendelea CHADEMA muda huu kwenye uchaguzi ni wazi bado hajapatikana mbadala wa CCM

CCM mlichofanya juzi kule Dodoma kumpitisha mgombea urais kidikteta na bila kura yoyote na hata aibu mnaweza kuwaambia CDM hawafai kushika dola kisa wanahesabu kura 500 kwa siku mbili. Ninyi mmehesabu kura ngapi za Samia na Mwinyi juzi?!
CCM Walitengua Kanuni Tu Hakukuwa Na Ushindani
Pole Pole Alisema Wahuni Wapo CCM Ni Wananchi Wote Kuwakataa Popote Walipo
 
Nyerere huyu hutu aliyesababisha wananchi wakavaa viraka?
Maoni yako yanaheshimiwa, lakini hayaondoi legacy ya Mwalimu Nyerere nchini Tanzania. Nchini Marekani, George Washington ni kama Mwalimu Nyerere Tanzania. Mojawapo ya wosia wake kabla hajafa aliwaambia Waamerika kwamba wasije wakajaribu wakaifanya Marekani nchi ya vyama vingi! Ahahahahaha!!

Kuna baadhi ya Waamerika wanajiuliza kwamba hivi ikitokea George Washington akafufuka leo watamwabia nini! Ahahahahaha!!!

Wewe na ujinga wako unamwona Mwalimu Nyerere hafai halafu unaamini ni binadamu na Mtanzania aliyekamilika! Ahahahahaha!!
 
Naona umepanic vibaya, umejieleza mno!
 
tabia za binadamu ni zile zile sema mngine ana nafasi ya kufanya jeuri mngine hana ,huyu ambaye anaonekana ni mwema sio mwizi siku akipewa nafasi makucha ndio mtayaona . litmus paper ya how chadema will be after holding power ni haka kauchaguzi .
 
Ndio maana mbowe anatakiwa atoke kwa sababu haya yote ndiye anaye yafanya na kuyaleta ndani ya chama chao ,chama hakina tatizo ila mbowe ni tatizo kubwa CHADEMA
 
Yaani hawa ccm waliopitisha mgombea bila kufuata katina ya chama kwa wagombea urais kuchukua fomu, kutafuta wadhamini , plus kuingiza ajenda ya kuteua wagombea kwenye mkutano mkuu ambayo haikuwepo ndio wawe sawa na Chadema ? Macho unayo huoni, masikio unayo husikii? One does not have to be a genius to understand this.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…