Kwa kinachoendelea Mahakamani kwenye kesi ya Mbowe, imedhihirika CHADEMA walikuwa sahihi kutokwenda Mahakamani baada ya uchaguzi Mkuu wa 2020

Kwa kinachoendelea Mahakamani kwenye kesi ya Mbowe, imedhihirika CHADEMA walikuwa sahihi kutokwenda Mahakamani baada ya uchaguzi Mkuu wa 2020

Ndiyo sababu maendeleo kuja hapa Tanzania tusahau chini ya mwamvuli wa ndugu zangu CCM,, kila kitu kimeharibiwa kuanzia Bunge,,Mahakama,, Police naomba Jeshi wasije wakafuata mkumbo
 
Hv unadhn mataga yanaelewa?????
Ikitenda haki mahakama moja, haimaanishi na nyingine zimetenda haki kwa hii moja kufanya hivyo..!!! Kila mahakama inajitegemea kwenye utendaji na maamuzi.. Maamuzi ya kesi moja yanaweza yasifanane na nyingine..!! Na ndiyo maana wengine huwa wanahukumiwa hivi, lakini wakikata rufaa hukumu hubadirika..
 
WALIOJIINGIZA KWENYE TAALUMA SIO WATU SAHIHI KWA SASA.....WAMEINGIZWA KUHARIBU TASWIRA YA SHERIA NA HAKI......WAMEKUWA WALA NJAMA.....SHERIA HAIKO HIVYO NYIE MAJAJI PANDIKIZI....TOKA ENZI ZA MABABU HAIKUWA NAMNA HIYO......WASTAAFU MAJAJI....MSIKAE KIMYA.....HALI HII IKIDUMISHWA NA WATU WAKIKATA TAMAA NI HATARI

Kama majaji wastaafu watakaa kimya huu uhuni ukishika kasi, sioni ni kwa jinsi gani machafuko hayatatokea huko mbele.
 
Jibu hoja dada, document imefikaje kwa shahidi wakati ilikua ktk store ya mahakama???
Kiukweli hapa chupi ya jamhuri imevuka Cha msingi ni kuchutama tuu. Hii ni aibu kubwa mahakama Inajitapakaza kinyesi oyooooooo na bado wacha inyesheee
 
Tumeshawazoea nyinyi nyumbu! Alipofungwa Sabaya mkasema Mahakama imetenda haki ila kwa huyu Gaidi mkubwa mnabwabwaja tuuu. Tulie dawa iwaingie sawasawa ili mpone ugonjwa wenu wa kinyumbu!!
Wewe tayari bangi imeshakuharibu kabisa akili mwakani utaanza kuzuru madampo..
 
Kama majaji wastaafu watakaa kimya huu uhuni ukishika kasi, sioni ni kwa jinsi gani machafuko hayatatokea huko mbele.
Kwanini usimuite mungu wako aliemuondoa Magu awaondoe na hao majaji bila kumwaga damu?
 
Kuna watu wengi waliituhumu CHADEMA kwa kutokwenda mahakamani baada ya kuporwa uchaguzi Mkuu wa 2020. Cdm walisema baadhi ya taasisi za umma zilizoingiziwa uozo wa siasa chafu za ccm, ni pamoja na mahakama.

Kwa sasa kwenye kesi hii ya Mbowe ushahidi unazidi kukaa wazi, na bado kesi haijafika mwisho, lakini tayari majaji wawili wameshatoka, na huyu wa sasa amejaa maamuzi ya utata, na sidhani kama atafika mwisho wa kesi.

Kubwa kuliko yote ni mahakama kutumika kuvujisha nyaraka kwa mashahidi wa jamuhuri kinyume kabisa cha sheria, na utawala wa mahakama uko kimya kuhusu hilo! Iwapo mahakamani ndio sehemu tunaambiwa ni ya kupatia haki, na inatakiwa tuiamini kuwa itatenda haki, wanashirikiana na watu waliobambikizia kesi, ni taasisi ipi tena ya umma inaweza kuaminika?

Kwa hapa tulipofikia ni kwa jinsi gani tunaweza kukwepa katiba mpya, wakati hadi mahakama imekubali kutumikia siasa chafu za CCM?

wewe mjuaji bana!

CDM wajuaji!

na mkiwa mna kosolewa, pewa ushauri mnaona kila mtu mjinga

na dhambi kubwa ni pale ambapo mnaona asiye chadema basi anaipenda CCM

kuna watu kibao wako serikalini na hata CCM hawaipendi hali hii ...ila hamjawakaribisha cdm

cdm ni ya wachache, wajuaji, toxic, wenye chuki na kutamka tu lolote lile bila kujali feelings za wengine

Lissu alisema anafurahia kifo cha JPM, Mbowe alisema anafurahia kifo cha JPM bila kujali kuna watu walimpenda JPM ...ila hawakuipenda CCM!!!! kuna watu walimpenda JPM hawakuipebda mahakama

kiko wapi sasa ..unalia nini?? ulichoandika kina ugeni gani nchi hii?

hii wapi mass support? hii wapi nguvu ya umma ya kuwafanya watu waache kazi zao na kukimbilia kudai haki??

kama hakuna hiyo, kuna mahali mmeanguka!! mnalia kwenye keyboard!! mnalia hamna nguvu, mnalia na unatamka chadema??? chadema iko wapi???

hata kupindi cha uchaguzi ukiona watu wengi mbele ya cdm, ni wana njaa ya mabadiliko...CDM is just a tool to show how hungry they are ..but if it is a food...cdm is poison, never eat that...

pole
 
Yupi huyo amjuaye Freeman Mbowe? Wewe??

I doubt kuwa, wewe ni "zuzu la ufahamu", yaani hujui hata maana ya UGAIDI na ndiyo maana unabweka tu kama umbwa koko vile...!

By the way, kama kweli we we unamjua Freeman Mbowe , basi thibitisha ugaidi wake...
Huyo ni kilaza wa lumumba
 
Hujui kwamba Sabaya anafungwa kwa kuwatukana na kuwadharau baadhi ya vigogo wa jeshi la polisi na hata mawaziri na aliyekuwa makamu wa rais wakati huo pamoja na waziri mkuu? Kosa lake hakujua kwamba JPM angekufa sikumoja na ndio maana alilia kama mtoto. Vinginevyo Sabaya angelikuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro wakati huu.
Sasa anasubiri nini kuwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro?
 
wewe mjuaji bana!

CDM wajuaji!

na mkiwa mna kosolewa, pewa ushauri mnaona kila mtu mjinga

na dhambi kubwa ni pale ambapo mnaona asiye chadema basi anaipenda CCM

kuna watu kibao wako serikalini na hata CCM hawaipendi hali hii ...ila hamjawakaribisha cdm

cdm ni ya wachache, wajuaji, toxic, wenye chuki na kutamka tu lolote lile bila kujali feelings za wengine

Lissu alisema anafurahia kifo cha JPM, Mbowe alisema anafurahia kifo cha JPM bila kujali kuna watu walimpenda JPM ...ila hawakuipenda CCM!!!! kuna watu walimpenda JPM hawakuipebda mahakama

kiko wapi sasa ..unalia nini?? ulichoandika kina ugeni gani nchi hii?

hii wapi mass support? hii wapi nguvu ya umma ya kuwafanya watu waache kazi zao na kukimbilia kudai haki??

kama hakuna hiyo, kuna mahali mmeanguka!! mnalia kwenye keyboard!! mnalia hamna nguvu, mnalia na unatamka chadema??? chadema iko wapi???

hata kupindi cha uchaguzi ukiona watu wengi mbele ya cdm, ni wana njaa ya mabadiliko...CDM is just a tool to show how hungry they are ..but if it is a food...cdm is poison, never eat that...

pole

Ili cdm ifahamike kuwa ipo ni pale watu watapojitokeza kuuwawa na vyombo vya dola, ama kuachiwa vilema vya maisha? Leo hii wamachingwa wameondolewa kibabe kwenye maeneo yao ya kufanyia biashara, je hiyo ni dalili kuwa wamachinga hawana support? Kwa huu mchango wako nimegundua ww ni wale bendera fuata upepo, ndio maana mengi ya malalamiko yako dhidi ya cdm ni yaleyale ya kukariri majibu. Sioni kama una jipya lolote.
 
Back
Top Bottom