Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Matusi ni alama ya kuishiwa hojaAlikuwa anambaka nani dada? Wewe au? Kwani bibi kizee kama wewe unaweza kubakwa kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matusi ni alama ya kuishiwa hojaAlikuwa anambaka nani dada? Wewe au? Kwani bibi kizee kama wewe unaweza kubakwa kweli?
Jibu hoja dada, document imefikaje kwa shahidi wakati ilikua ktk store ya mahakama???Tumeshawazoea nyinyi nyumbu! Alipofungwa Sabaya mkasema Mahakama imetenda haki ila kwa huyu Gaidi mkubwa mnabwabwaja tuuu. Tulie dawa iwaingie sawasawa ili mpone ugonjwa wenu wa kinyumbu!!
Ikitenda haki mahakama moja, haimaanishi na nyingine zimetenda haki kwa hii moja kufanya hivyo..!!! Kila mahakama inajitegemea kwenye utendaji na maamuzi.. Maamuzi ya kesi moja yanaweza yasifanane na nyingine..!! Na ndiyo maana wengine huwa wanahukumiwa hivi, lakini wakikata rufaa hukumu hubadirika..
Kama unaamini kesi ya Mbowe ni kesi, unapaswa upimwe kila kitu!Mtoto mdogo yupi anayejua kesi ya Gaidi Mbowe ni ya kubumba mkuu?? Au wewe ndiyo mtoto mdogo!!?
WALIOJIINGIZA KWENYE TAALUMA SIO WATU SAHIHI KWA SASA.....WAMEINGIZWA KUHARIBU TASWIRA YA SHERIA NA HAKI......WAMEKUWA WALA NJAMA.....SHERIA HAIKO HIVYO NYIE MAJAJI PANDIKIZI....TOKA ENZI ZA MABABU HAIKUWA NAMNA HIYO......WASTAAFU MAJAJI....MSIKAE KIMYA.....HALI HII IKIDUMISHWA NA WATU WAKIKATA TAMAA NI HATARI
Kiukweli hapa chupi ya jamhuri imevuka Cha msingi ni kuchutama tuu. Hii ni aibu kubwa mahakama Inajitapakaza kinyesi oyooooooo na bado wacha inyesheeeJibu hoja dada, document imefikaje kwa shahidi wakati ilikua ktk store ya mahakama???
Wewe tayari bangi imeshakuharibu kabisa akili mwakani utaanza kuzuru madampo..Tumeshawazoea nyinyi nyumbu! Alipofungwa Sabaya mkasema Mahakama imetenda haki ila kwa huyu Gaidi mkubwa mnabwabwaja tuuu. Tulie dawa iwaingie sawasawa ili mpone ugonjwa wenu wa kinyumbu!!
Labda mtoto wa Joyce mukya ndo anajua kuwa ugaidi wa Mbowe Ni wa kubumba.Mtoto mdogo yupi anayejua kesi ya Gaidi Mbowe ni ya kubumba mkuu?? Au wewe ndiyo mtoto mdogo!!?
Kwanini usimuite mungu wako aliemuondoa Magu awaondoe na hao majaji bila kumwaga damu?Kama majaji wastaafu watakaa kimya huu uhuni ukishika kasi, sioni ni kwa jinsi gani machafuko hayatatokea huko mbele.
Kuna watu wengi waliituhumu CHADEMA kwa kutokwenda mahakamani baada ya kuporwa uchaguzi Mkuu wa 2020. Cdm walisema baadhi ya taasisi za umma zilizoingiziwa uozo wa siasa chafu za ccm, ni pamoja na mahakama.
Kwa sasa kwenye kesi hii ya Mbowe ushahidi unazidi kukaa wazi, na bado kesi haijafika mwisho, lakini tayari majaji wawili wameshatoka, na huyu wa sasa amejaa maamuzi ya utata, na sidhani kama atafika mwisho wa kesi.
Kubwa kuliko yote ni mahakama kutumika kuvujisha nyaraka kwa mashahidi wa jamuhuri kinyume kabisa cha sheria, na utawala wa mahakama uko kimya kuhusu hilo! Iwapo mahakamani ndio sehemu tunaambiwa ni ya kupatia haki, na inatakiwa tuiamini kuwa itatenda haki, wanashirikiana na watu waliobambikizia kesi, ni taasisi ipi tena ya umma inaweza kuaminika?
Kwa hapa tulipofikia ni kwa jinsi gani tunaweza kukwepa katiba mpya, wakati hadi mahakama imekubali kutumikia siasa chafu za CCM?
Anacheza kinyago cha mpapule ya jahaziUmeulizwa swali badala ya kujibu unakata mauno na vidole juu
Huyo ni kilaza wa lumumbaYupi huyo amjuaye Freeman Mbowe? Wewe??
I doubt kuwa, wewe ni "zuzu la ufahamu", yaani hujui hata maana ya UGAIDI na ndiyo maana unabweka tu kama umbwa koko vile...!
By the way, kama kweli we we unamjua Freeman Mbowe , basi thibitisha ugaidi wake...
Umeonaeee?Naona, umetengeneza ID hii mpya, kwa ajili ya kuvamia thread walizoanzisha wenzio, na kutoa matusi tu!
Gaidi alisha nulikana ni Hamza mwana ccmNawaambia ukweli gaidi Hana rafiki angeweza kutimiz hata wewe ungekuwa hatarini mbowe gaidi
Asante dada NyambulaWatu wanaopumuliwa ni kama wewe unayejipendekeza kwa mwanaume mwenzio lazima akubokoe tu
Sasa anasubiri nini kuwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro?Hujui kwamba Sabaya anafungwa kwa kuwatukana na kuwadharau baadhi ya vigogo wa jeshi la polisi na hata mawaziri na aliyekuwa makamu wa rais wakati huo pamoja na waziri mkuu? Kosa lake hakujua kwamba JPM angekufa sikumoja na ndio maana alilia kama mtoto. Vinginevyo Sabaya angelikuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro wakati huu.
HakikaMatusi ni alama ya kuishiwa hoja
wewe mjuaji bana!
CDM wajuaji!
na mkiwa mna kosolewa, pewa ushauri mnaona kila mtu mjinga
na dhambi kubwa ni pale ambapo mnaona asiye chadema basi anaipenda CCM
kuna watu kibao wako serikalini na hata CCM hawaipendi hali hii ...ila hamjawakaribisha cdm
cdm ni ya wachache, wajuaji, toxic, wenye chuki na kutamka tu lolote lile bila kujali feelings za wengine
Lissu alisema anafurahia kifo cha JPM, Mbowe alisema anafurahia kifo cha JPM bila kujali kuna watu walimpenda JPM ...ila hawakuipenda CCM!!!! kuna watu walimpenda JPM hawakuipebda mahakama
kiko wapi sasa ..unalia nini?? ulichoandika kina ugeni gani nchi hii?
hii wapi mass support? hii wapi nguvu ya umma ya kuwafanya watu waache kazi zao na kukimbilia kudai haki??
kama hakuna hiyo, kuna mahali mmeanguka!! mnalia kwenye keyboard!! mnalia hamna nguvu, mnalia na unatamka chadema??? chadema iko wapi???
hata kupindi cha uchaguzi ukiona watu wengi mbele ya cdm, ni wana njaa ya mabadiliko...CDM is just a tool to show how hungry they are ..but if it is a food...cdm is poison, never eat that...
pole