GE2025 Kwa kinachoendelea mtaani, ni wazi Tundu Lissu/CHADEMA wana kazi kubwa ,No reforms No election it was wrong timing

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Chadema hawana cha kupoteza. Tena Mimi nawashauri wahamie CCM na wao wapambanie maslahi ya matumbo Yao waache kusumbuka na watanzania wasio jtambua.
sidhani kama waTanzania wanahitaji maajabu ya CHADEMA, hiki ni chama cha juzi tu, hakina maajabu ya kuumfanyia mtanzania jipya, wenye akili waliokuwa CHADEMA na vyama vingine vya upinzani wamehamia kwa GOLIATH na mchango wao tunauona kuliko wapokuwa huko CDM et al @ Prof Kitila Mkumbo, David KAFULILA, MTATIRO, MSIGWA, DC NASARI, Esther Matiko, Rev MSIGWA etc etc
 
Uchaguzi utafanyika na maisha yataendelea.
Wahenga walimsema "Heri Tisa kamata kuliko kumi nenda rudi"

Hekima kuu ingewatuma kugombea hata akipatikana Mbunge 1 huyo atatumika kuisemea CHADEMA katika jukwaa rasmi.
Miaka 5 nje ya uwanja watashangaa wenyewe.
Kwa hiyo kazi ya mbunge ni kukisemea chama chake kwenye majukwaa rasmi? Ndiyo maana CCM mbunge akijifanya kuwasemea wananchi mnakata jina?
Takataka
 
NO REFORMS, NO ELECTION!
Hii mbona inaeleweka vizuri tu?
imesha EXPIRE, watu wako busy na uchaguzi, theoretically it sounds good, but it is 100% impractical i.e UTOPIA
 
Unaongelea mtaa upi? Sisi mtaani kwetu hatuna uchaguzi mwaka huu.
 
Chama cha siasa kisichoshiriki uchaguzi yafaa kifutwe kabisa.
Siasa sio uwanaharakati.
mmekaribishwa Ikulu kunywa sharubati na korosho zaidi ya mara mbili lakini mmeendelea kubehave kihuni mbele ya mustakabali wa Taifa.
Hizo sharubati ndo zitaleta maendeleo mmekuwa wahuni wa kutupwa
 
Habari JF, kwa sasa mivutano na teuzi za wawania Urais ,ubunge na udiwani ndani ya CCM ndio habari kuu mitaani kwa wote wana CCM na wana CHADEMA, maandalizi ya uchaguzi yanaendelea na tuna miezi miwili .

Tundu Lissu na CHADEMA wana kesi ambazo hazijulikani mwisho wake lini na ni nini hatma yake ,CCM na vyama vingine 18 hili hawajali wanaendelea na maandalizi ya uchaguzi October 2025 .

Ni ajabu wana CHADEMA sasa hivi na wao wana mtu wao katika wawania ubunge wa CCM wanataka apite awe mbunge au akatwe .

Binafsi naona hoja ya No reforms No election imechelewa sana tungeanza nayo miaka miwili Nyuma kipindi cha Mheshimiwa Mbowe kwa kuwekewa mkazo mkubwa,Elimu kwa raia , ikiwemo nguvu ya umma na sio kipindi ambacho CCM washaanza michakato ya uchaguzi.

Kwa sasa nini kifanyike ili kwa huu muda mchache REFORMS zifanyike na CHADEMA tushiriki uchaguzi October 2025 ?
Mbona mnahangaika na Lissu pamoja na Kukifungia chama kwa njia haramu kama si uwoga ni nini?
 
Habari JF, kwa sasa mivutano na teuzi za wawania Urais ,ubunge na udiwani ndani ya CCM ndio habari kuu mitaani kwa wote wana CCM na wana CHADEMA, maandalizi ya uchaguzi yanaendelea na tuna miezi miwili .

Tundu Lissu na CHADEMA wana kesi ambazo hazijulikani mwisho wake lini na ni nini hatma yake ,CCM na vyama vingine 18 hili hawajali wanaendelea na maandalizi ya uchaguzi October 2025 .

Ni ajabu wana CHADEMA sasa hivi na wao wana mtu wao katika wawania ubunge wa CCM wanataka apite awe mbunge au akatwe .

Binafsi naona hoja ya No reforms No election imechelewa sana tungeanza nayo miaka miwili Nyuma kipindi cha Mheshimiwa Mbowe kwa kuwekewa mkazo mkubwa,Elimu kwa raia , ikiwemo nguvu ya umma na sio kipindi ambacho CCM washaanza michakato ya uchaguzi.

Kwa sasa nini kifanyike ili kwa huu muda mchache REFORMS zifanyike na CHADEMA tushiriki uchaguzi October 2025 ?
Nakubaliana na wewe ilikuwa ni right thing but at wrong time
 
Chadema iliyokufa ndo uko busy kuandika Uzi nyie mmerogwa na nani kwanini usiwe busy na Chauma au ACT stil chadema ndo chama kikubwa cha upinzani Tanzania ilo hata tufanye nini ilo wazi chadema ina watu kuzidi vyama vya upinzani vyote na wasipoingia kwenye Uchaguzi ndo wataimalika zaidi
 
Tatizo wala sio chadema, shida ipo kwa ccm na serikali yake.
● Hawataki kuachia madaraka hata kwa mtutu wa bunduki.
● Wamehodhi vyombo vyote vya ulinzi na usalama wa taifa.
● Wamekuwa walafi, wanagawana madaraka, wahuni, wezi wa mali za umma na ndio sababu haswa hawataki kuona reforms zikofanyika.

Chadema has to be stronger kukabiliana na hawa wahuni, japo katika hali ninayoiona ni ngumu sana kufika tunapotaka.

Huku.mama na mwana wanapitishwa bila upinzani, kule kuna Mr & Mrs wanapitishwa. Tusipoangalia huku atakuwa rais mume kule waziri mkuu mke, Uganda iliyochangamka inakuja.
 
huwezi pigana nje ya mfumo wa siasa, mtakuwa spectotors tii 2030
 
Tatizo wala sio chadema, shida ipo kwa ccm na serikali yake.
● Hawataki kuachia madaraka hata kwa mtutu wa bunduki.
● Wamehodhi vyombo vyote vya ulinzi na usalama wa taifa.
● Wamekuwa walafi, wanagawana madaraka, wahuni, wezi wa mali za umma na ndio sababu haswa hawataki kuona reforms zikofanyika.

Chadema has to be stronger kukabiliana na hawa wahuni, japo katika hali ninayoiona ni ngumu sana kufika tunapotaka.

Huku.mama na mwana wanapitishwa bila upinzani, kule kuna Mr & Mrs wanapitishwa. Tusipoangalia huku atakuwa rais mume kule waziri mkuu mke, Uganda iliyochangamka inakuja.
na imekuwa very strong nje ya ulingo, till 2030
 
MTu yoyote anayefikiria/ kushiriki huo uchaguzi hana akili.ni wastage of time and resource.
chadema hawataki kushiriki uchaguzi wanataka kushinda uchaguzi, na uwezo upo wazi, waweke tume huru uone kama Tanzania haitaandika historia mpya.
 
Habari JF, kwa sasa mivutano na teuzi za wawania Urais ,ubunge na udiwani ndani ya CCM ndio habari kuu mitaani kwa wote wana CCM na wana CHADEMA, maandalizi ya uchaguzi yanaendelea na tuna miezi miwili .

Tundu Lissu na CHADEMA wana kesi ambazo hazijulikani mwisho wake lini na ni nini hatma yake ,CCM na vyama vingine 18 hili hawajali wanaendelea na maandalizi ya uchaguzi October 2025 .

Ni ajabu wana CHADEMA sasa hivi na wao wana mtu wao katika wawania ubunge wa CCM wanataka apite awe mbunge au akatwe .

Binafsi naona hoja ya No reforms No election imechelewa sana tungeanza nayo miaka miwili Nyuma kipindi cha Mheshimiwa Mbowe kwa kuwekewa mkazo mkubwa,Elimu kwa raia , ikiwemo nguvu ya umma na sio kipindi ambacho CCM washaanza michakato ya uchaguzi.

Kwa sasa nini kifanyike ili kwa huu muda mchache REFORMS zifanyike na CHADEMA tushiriki uchaguzi October 2025 ?
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
NO REFORMS NO ELECTION
 
MTu yoyote anayefikiria/ kushiriki huo uchaguzi hana akili.ni wastage of time and resource.
chadema hawataki kushiriki uchaguzi wanataka kushinda uchaguzi, na uwezo upo wazi, waweke tume huru uone kama Tanzania haitaandika historia mpya.
na mtu anayefikiri watu wooote wanaafikiana au lazima waafiki msimamo wa CHADEMA atakuwa na upungufu mkubwa sana wa akili i.e IMBECIL, kutoshiriki uchaguzi ni haki yenu ya kikatiba, msiwasumbue watu wananoshiriki uchaguzi
The World Is Living Suffering Is Your Choice​
 
Chadema wako Very smart, hawajakosea timing, tatizo lipo kwetu bado tunashindwa kuitumia JF.Kushinikiza mamlaka ziweke Reforms nchi iingie kwenye uchaguzi wa haki. Hakuna chadema kwenye uchaguzi ni kama kulia mwenyewe msibani.
 
Habari JF, kwa sasa mivutano na teuzi za wawania Urais ,ubunge na udiwani ndani ya CCM ndio habari kuu mitaani kwa wote wana CCM na wana CHADEMA, maandalizi ya uchaguzi yanaendelea na tuna miezi miwili .

Tundu Lissu na CHADEMA wana kesi ambazo hazijulikani mwisho wake lini na ni nini hatma yake ,CCM na vyama vingine 18 hili hawajali wanaendelea na maandalizi ya uchaguzi October 2025 .

Ni ajabu wana CHADEMA sasa hivi na wao wana mtu wao katika wawania ubunge wa CCM wanataka apite awe mbunge au akatwe .

Binafsi naona hoja ya No reforms No election imechelewa sana tungeanza nayo miaka miwili Nyuma kipindi cha Mheshimiwa Mbowe kwa kuwekewa mkazo mkubwa,Elimu kwa raia , ikiwemo nguvu ya umma na sio kipindi ambacho CCM washaanza michakato ya uchaguzi.

Kwa sasa nini kifanyike ili kwa huu muda mchache REFORMS zifanyike na CHADEMA tushiriki uchaguzi October 2025 ?
Ungezaliwa, kipindi cha apartheid wakati, Mandela yupo gerezani, Steve Biko ameuwawa, vuongozi wengine wapo ukimbizini bongo, je ungesema harakati za ANC kuikomboa South Africa, zilikuwa zimeshindwa na to timing ni mbaya?
Kilichotokea Leo, ni Historia, ANC ipo, madarakani, sasa, wanachopotia chadema ni mchakato tu, mabadiriko sio lazima yatokee kesho October, hata yakija 50+yrs ni, sawa,
Viongozi, wa chadema wamefungwa, wameuawawa, lakini vivuli vyao tu vinawatisha ccm, chadema inapambqna, na mfumo, wa, kijambazi, ki Mafia, wa ccm, unaohusisha polisi,jeshi, intelijensia, rogue elements in armed forces, nk.
Kwenye nchi, singing, huwa, tunasema, "nchi, Fulani kuna drugs/mafia cartel, lakini bongo, Mafia and drug cartels ndio wana nchi, wapo ikulu, TRA, jeshi ni, polisi, TISS,bungeni nk
 
Chadema wako Very smart, hawajakosea timing, tatizo lipo kwetu bado tunashindwa kuitumia JF.Kushinikiza mamlaka ziweke Reforms nchi iingie kwenye uchaguzi wa haki. Hakuna chadema kwenye uchaguzi ni kama kulia mwenyewe msibani.
vyama 17 vinavyoshiriki bado ni utitiri uliozidi, usilazimishe kila mtanzania kuwa kuamini NRNE
 
sidhani kama waTanzania wanahitaji maajabu ya CHADEMA, hiki ni chama cha juzi tu, hakina maajabu ya kuumfanyia mtanzania jipya, wenye akili waliokuwa CHADEMA na vyama vingine vya upinzani wamehamia kwa GOLIATH na mchango wao tunauona kuliko wapokuwa huko CDM et al @ Prof Kitila Mkumbo, David KAFULILA, MTATIRO, MSIGWA, DC NASARI, Esther Matiko, Rev MSIGWA etc eHao

sidhani kama waTanzania wanahitaji maajabu ya CHADEMA, hiki ni chama cha juzi tu, hakina maajabu ya kuumfanyia mtanzania jipya, wenye akili waliokuwa CHADEMA na vyama vingine vya upinzani wamehamia kwa GOLIATH na mchango wao tunauona kuliko wapokuwa huko CDM et al @ Prof Kitila Mkumbo, David KAFULILA, MTATIRO, MSIGWA, DC NASARI, Esther Matiko, Rev MSIGWA etc etc
Kwamba CCM yenye maajabu inachukua watu kutokea CHADEMA chama cha juzi na kuwapa vyeo vikubwa ndani ya serikali! Hiyo ni sababu tosha kuonesha jinsi CCM ilivyo jaza vichwa maji.
 
Back
Top Bottom