DR VRM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 3,933
- 3,071
CHADEMA ndyo standard measure ya democracy??? mnajisumbua, watu wameshasahau wako busy na uchaguzi, subirini muone kama nchi itasimamishwa..uchaguzi bila chadema utakosa ushindani na utakuwa mufilis.
