LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Eti
Chaumma na ACT🤣🤣Vyama vingine ni vyama gani?
Chaumma na ACT🤣🤣Vyama vingine ni vyama gani?
SUICIDE ni mbaya, ndyo maana hakuna judge hapo, sasa hivi mgnekuwa na slogan ya "FREE TAL" ingefaa zaidi, lakini NRNE imeshafeli, life goes on as usual, ila inawaumiza sana kisaikoligia, lkn taratibu you will come to realityChadema imekufaje? Huku majaji na mapolis wakitumika kukihujumu? Ile kesi ya lissu ukifuatilia mpaka unajisikia aibu, hakimu anazunguka zunguka tu
Habari JF, kwa sasa mivutano na teuzi za wawania Urais ,ubunge na udiwani ndani ya CCM ndio habari kuu mitaani kwa wote wana CCM na wana CHADEMA, maandalizi ya uchaguzi yanaendelea na tuna miezi miwili .
Tundu Lissu na CHADEMA wana kesi ambazo hazijulikani mwisho wake lini na ni nini hatma yake ,CCM na vyama vingine 18 hili hawajali wanaendelea na maandalizi ya uchaguzi October 2025 .
Ni ajabu wana CHADEMA sasa hivi na wao wana mtu wao katika wawania ubunge wa CCM wanataka apite awe mbunge au akatwe .
Binafsi naona hoja ya No reforms No election imechelewa sana tungeanza nayo miaka miwili Nyuma kipindi cha Mheshimiwa Mbowe kwa kuwekewa mkazo mkubwa,Elimu kwa raia , ikiwemo nguvu ya umma na sio kipindi ambacho CCM washaanza michakato ya uchaguzi.
Kwa sasa nini kifanyike ili kwa huu muda mchache REFORMS zifanyike na CHADEMA tushiriki uchaguzi October 2025 ?
usilinganishe harakati za JKN na changamoto za Mungu wenu TAL, hiyo ni divergence ambayo haitatuunganishaKesi ambazo hazina mbele wala nyuma. Mwalimu Nyerere na wenzake, walikuwa wanabambakiwa wakiwa wanadai uhuru.
Na bado uhuru ulipatikana. Kimsingi, hakuna mtu anayeweza kuzuia matakwa ya nyakati. Ukitaka kuendelea kuendesha punda kama babu zetu wakati kuna motokaa, ni hiari yako.
Ila haina maana umeweza kuisimamisha dunia. Ni suala la muda tu, mabadiliko yatakuja.
Sure 💯Chadema hawana cha kupoteza. Tena Mimi nawashauri wahamie CCM na wao wapambanie maslahi ya matumbo Yao waache kusumbuka na watanzania wasio jtambua.
Mtaa gani uliopita wewe? Acheni uongo jamaniHabari JF, kwa sasa mivutano na teuzi za wawania Urais ,ubunge na udiwani ndani ya CCM ndio habari kuu mitaani kwa wote wana CCM na wana CHADEMA, maandalizi ya uchaguzi yanaendelea na tuna miezi miwili .
Tundu Lissu na CHADEMA wana kesi ambazo hazijulikani mwisho wake lini na ni nini hatma yake ,CCM na vyama vingine 18 hili hawajali wanaendelea na maandalizi ya uchaguzi October 2025 .
Ni ajabu wana CHADEMA sasa hivi na wao wana mtu wao katika wawania ubunge wa CCM wanataka apite awe mbunge au akatwe .
Binafsi naona hoja ya No reforms No election imechelewa sana tungeanza nayo miaka miwili Nyuma kipindi cha Mheshimiwa Mbowe kwa kuwekewa mkazo mkubwa,Elimu kwa raia , ikiwemo nguvu ya umma na sio kipindi ambacho CCM washaanza michakato ya uchaguzi.
Kwa sasa nini kifanyike ili kwa huu muda mchache REFORMS zifanyike na CHADEMA tushiriki uchaguzi October 2025 ?
kama chaguzi ni wa hovyo, ni vema msishiriki, na ni haki yenu ya kikatiba, ila muache kusumbua wengine na hizo verse zenu za NRNESasa washiriki uchaguzi wa hovyoo namna siwatakuwa hawana akili na mwakaa huu wangeshiriki CCM ingeshinda kwa 100%. Kwanini wapoteze muda pesa na kushinda hawatashinda.
Hiyo dhana ya NRNE ni complex Sana mkuu, imagine uchaguzi unaotarajiwa kuwa na wapiga kura mil 37 wakajitokeza watu mil 10 hapo NRNE haijafanikiwa? Serikali imebanwa ndo maana inatumia vyombo vya Dola kudhibiti chademaSUICIDE ni mbaya, ndyo maana hakuna judge hapo, sasa hivi mgnekuwa na slogan ya "FREE TAL" ingefaa zaidi, lakini NRNE imeshafeli, life goes on as usual, ila inawaumiza sana kisaikoligia, lkn taratibu you will come to reality
Hakuna chochote..uchaguzi bila chadema utakosa ushindani na utakuwa mufilis.
Wanasumbuliwa kina nani?kama chaguzi ni wa hovyo, ni vema msishiriki, na ni haki yenu ya kikatiba, ila muache kusumbua wengine na hizo verse zenu za NRNE
Sasa wasiposumbua wakati wa uchaguzi wasumbue lini tena?kama chaguzi ni wa hovyo, ni vema msishiriki, na ni haki yenu ya kikatiba, ila muache kusumbua wengine na hizo verse zenu za NRNE
hawajalazimishwa, ni bora wapumzike na kujiuguza mpaka 2030Warudi halafu wakafanyiwe uhuni kama ule uchaguzi serikali za mitaa mwaka jana??
Ili iweje.
Wakirudi kuhalalisha uhuni watakuwa wamebugi sana, kumbuka vyama vingine vyooote ni takataka havina nguvu yoyote kuitisha ccm...anayeangaliwa kitaifa & kimataifa dhidi yao ni CHADEMA tuu!
Ukitaka kujua nguvu ya CHADEMA mfano mdogo tu ni hapo Arusha Mjn mtu kama Makonda asingeshinda uchaguzi wa ubunge dhidi ya CHADEMA endapo reforms zingefanyika uwanja wa ushindani ukiwa sawa!!.
Fanya utafiti mtaani kuhusu mwitikio wa wananchi kuhusu uchaguzi utajuaHakuna chochote
Sema chadwma bil uchaguzi ndio inakua mufilisi
Chakandumuz ni chama kinachong’aa Kipindi cha uchaguzi tu
Na huwa kinabeba rejects wa ccm na kuwa nao briefly kabla ya hao rejects kurudi ccm teady for next wave yq election
Very poor strategy
Kwa katiba ipi? Sheria ipi?
usilinganishe harakati za JKN na changamoto za Mungu wenu TAL, hiyo ni divergence ambayo haitatuunganisha
Kwa Arusha chadema ingeshiriki uchaguzi huru, makonda ubunge angeusoma kwenye magazeti tu...Warudi halafu wakafanyiwe uhuni kama ule uchaguzi serikali za mitaa mwaka jana??
Ili iweje.
Wakirudi kuhalalisha uhuni watakuwa wamebugi sana, kumbuka vyama vingine vyooote ni takataka havina nguvu yoyote kuitisha ccm...anayeangaliwa kitaifa & kimataifa dhidi yao ni CHADEMA tuu!
Ukitaka kujua nguvu ya CHADEMA mfano mdogo tu ni hapo Arusha Mjn mtu kama Makonda asingeshinda uchaguzi wa ubunge dhidi ya CHADEMA endapo reforms zingefanyika uwanja wa ushindani ukiwa sawa!!.
UsijaliFanya utafiti mtaani kuhusu mwitikio wa wananchi kuhusu uchaguzi utajua