DR VRM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 3,933
- 3,071
mbona NRNE wapiga kura wengi hawaijui kabisa, ni kitu cha mtandaoni tu, mtaani wanafuatilia kwa karibu uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani, na ndyo habari kuu ya mitaaniFanya utafiti mtaani kuhusu mwitikio wa wananchi kuhusu uchaguzi utajua