William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Washabiki wa Simba hatufatilii kabisa ukweli na uhalisia wa timu.
Tunasubiri uchambuzi wa Wachambuzi bahasha na kuweka matarajio ya kipuuzi.
Nilifatilia usajili ni wa ovyo kabisa. Tumesajili wachezaji wawili tu wa kiwango cha simba na kurundika wa ovyo ovyo. Nimeposti sana takwimu za kila anayesajiliwa lakini washabiki wa ovyo wanasifia.
Tumeacha wachezaji wote wazuri. Tumeleta vitoto vya bei chee. Kanute, Chama, Inonga, Kibu, phiri, Baleke, Manula wote tumewakwaza, tukawatoa mchezoni ili tuwateme bila kelele za mashabiki tusiojielewa. Ngoja vitoto vije vishonwe.
Mwaka huu Azam ndio kasajili sasa. Kila ukifatilia takwimu za wanaotua unaogopa. Yanga kalinda wachezaji wake wote walio bora kabisa. Tunaenda kuwa wasindikizaji.
Nikaonesha kocha wetu wa sasa kitakwimu asivyo bora yani wa ovyo. Washabiki wa ovyo wakamringanisha na Vicent Kampan. Acheni basi kocha ni tabu tupu ila tunasubiri tugongwe weee.
Pre seazoni tunacheza na timu za Ovyo Ovyo. Washabiki wa ovyo tunautetea huu upuuzi wa viongozi. Na kutumia hoja za Ovyo ovyo. Oh ni pre season.
Angalieni mechi za pre season za Man City ni vs Madrid na timu kubwa.
Au arsenal yupo na boromouth, Man U,
Naweka Mechi za pre Season za Man U, Arsenal, Man City na Real Madrid alafu wa ovyo waje na hoja zao sasa. Sijui kocha anajenga nini??
Uto tu timu gemu zake angezicheza pale mo arena na vikina Mbuni, Sijui Kurugenzi na Alience. Akitoka atafute za kujipima nguvu.
Ila sisi tunatetea ujinga duuuuh
Kwenye mechi za kirafiki za ovyo nimeona leo tena kimepangwa kikosi cha ovyo ovyo.
Sikuelewa kocha Katoka kushusha timu daraja. Eti aje kufanya makubwa simba kweli
Uongozi kama umemuacha Mo ayapuyange ili wwaonekane walikua bora
Kilakitu kitaenda ovyo. Mwaka huu tutegemee Simba mbovu ss.