Kwa kinachoendelea Simba imekuwa timu ya Ovyo ovyo, kocha wa ovyo, hadi washabiki na uongozi wa ovyo ovyo. Hatujui kabisa

Unaleta habari ya Simba kisha unatuwekea takwimu za Man utd, hujioni wewe ndie mwenye tatizo kichwani?
 
Reactions: BRN
Kelele zooote hizi ni kwakuwa Yanga kashinda nne. Tuachie timu yetu uhamie huko.
 
Reactions: BRN
Unaleta habari ya Simba kisha unatuwekea takwimu za Man utd, hujioni wewe ndie mwenye tatizo kichwani?
naonesha pre season za timu kkubwa alafu ulinganishe na timu tunazocheza nazo pre season kaka
 
Hatujaona Simba wakicheza msinu huu, mtu kishaanza kulalamika. Kama sio uchawi ni nini? Tuta criticise tukiiona timu na ubora wake.
Nimefatilia hatua zote Fadlu akiwa kocha mkuu hakuna namna mambo yatabadilika. Sio kocha yule
 
Shabiki mihemko kama huyu ni wa kupuuzwa, Akishatandikwa maneno ya vijiweni na mashabiki wa utopolo anajaa upepo anakuja kutema mapovu huku
 
Shabiki mihemko kama huyu ni wa kupuuzwa, Akishatandikwa maneno ya vijiweni na mashabiki wa utopolo anajaa upepo anakuja kutema mapovu huku
Uyu shabiki ingawa kwenye mabandiko yake mengi simwelewi lakini katika hili ameonyesha Simba Ina muuma.

Mtu mwenye akili timamu na anao ufahamu mpira hawezi kuelewa timu yake si kucheza mfululizo na timu za madaraja ya Chini zinazotoa ushindani hafifu bali kwanini mechi hizo haziwi public.

Kuna tatizo linafichwa tena tatizo kubwa, ila siku ya Simba Day Lita dhihirika.

Bahati mbaya wakati mnalitambua tatizo kama mashabiki muda wa kulirekebisha hautakuwepo na Dirisha la usajili litakua limefungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…