Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 6,007 Reaction score 15,216 Oct 30, 2026 #1 Kwa jinsi Uganda mwenendo wa nchi yake na tabia za viongozi wa serikali kufanya ni mali ya familia. Naona vikosi vingi vya uganda vishaanza kugeukana Tuendelee kula mtori nyama zipo chini.Uganda inaweza kujirudia
Kwa jinsi Uganda mwenendo wa nchi yake na tabia za viongozi wa serikali kufanya ni mali ya familia. Naona vikosi vingi vya uganda vishaanza kugeukana Tuendelee kula mtori nyama zipo chini.Uganda inaweza kujirudia
BICHWA KOMWE - JF-Expert Member Joined Jul 21, 2022 Posts 9,528 Reaction score 24,071 Oct 30, 2026 #3 Nini kinaendelea weka stori nzima.
Jumlisha JF-Expert Member Joined Jul 10, 2022 Posts 2,193 Reaction score 4,434 Oct 30, 2026 #4 Kuna mambo ukiwa na akili timamu hayavumiliki bhn
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Oct 30, 2026 #5 Wacha wageukane, museveni kaifanya uganda ni mali yake pekee, mzee hataki kuachia ngazi tangu mwaka 1986 hadi leo yapata miaka 40 anang'ang'ania madaraka bila aibu, ni wakati sasa wa kuondolewa kwa nguvu kama hataki kuondoka madarakani kwa heshima
Wacha wageukane, museveni kaifanya uganda ni mali yake pekee, mzee hataki kuachia ngazi tangu mwaka 1986 hadi leo yapata miaka 40 anang'ang'ania madaraka bila aibu, ni wakati sasa wa kuondolewa kwa nguvu kama hataki kuondoka madarakani kwa heshima