Jf ina watu wema sanaUnaweza ila jipange uongeze kipato kidogo, ili uweze kujenga nyumba bora na sio bora nyumba.
Kwenye hio 200k huwa unabaki na kiasi gani baada ya matumizi yako muhimu?Salaam waungwana,
Mimi ni mwanamke mwenye mtoto mmoja kiu yangu kubwa ni kupata kijumba changu kidogo tustirike na mwanangu, naombeni mnitie moyo je kwa shilingi laki mbili kwa mwezi naweza kujenga chumba, sebule, jiko dogo na choo? kiwanja kipo tayari maeneo ya Mkuranga, hili jambo linaniwazisha hadi nakosa usingizi natamani sana nipate kwangu ila kila nikifurukuta kipato changu ndio hicho,
Mtoto bado mdogo hajaanza kusoma, natamani niwe nimekamilisha kabisa ndoto yangu ya kua na kwangu kabla sijaingia kwenye heka heka za kusomesha,
Nimelileta huku najua kuna mafundi na wenye uzoefu wa kujenga kwa kudunduliza,
Napokea maoni, mawazo,
Laki mbili ndo kila kitu? Kwamba kula na kulipa Kodiak? Sijui ufanye bajet ya namna gan ili uaze kupata hiyo hela ya ujenziSalaam waungwana,
Mimi ni mwanamke mwenye mtoto mmoja kiu yangu kubwa ni kupata kijumba changu kidogo tustirike na mwanangu, naombeni mnitie moyo je kwa shilingi laki mbili kwa mwezi naweza kujenga chumba, sebule, jiko dogo na choo? kiwanja kipo tayari maeneo ya Mkuranga, hili jambo linaniwazisha hadi nakosa usingizi natamani sana nipate kwangu ila kila nikifurukuta kipato changu ndio hicho,
Mtoto bado mdogo hajaanza kusoma, natamani niwe nimekamilisha kabisa ndoto yangu ya kua na kwangu kabla sijaingia kwenye heka heka za kusomesha,
Nimelileta huku najua kuna mafundi na wenye uzoefu wa kujenga kwa kudunduliza,
Napokea maoni, mawazo,
Ukiwa MWABAGALU hiyo ni pesa ndeefu sana sanaaaSalaam waungwana,
Mimi ni mwanamke mwenye mtoto mmoja kiu yangu kubwa ni kupata kijumba changu kidogo tustirike na mwanangu, naombeni mnitie moyo je kwa shilingi laki mbili kwa mwezi naweza kujenga chumba, sebule, jiko dogo na choo? kiwanja kipo tayari maeneo ya Mkuranga, hili jambo linaniwazisha hadi nakosa usingizi natamani sana nipate kwangu ila kila nikifurukuta kipato changu ndio hicho,
Mtoto bado mdogo hajaanza kusoma, natamani niwe nimekamilisha kabisa ndoto yangu ya kua na kwangu kabla sijaingia kwenye heka heka za kusomesha,
Nimelileta huku najua kuna mafundi na wenye uzoefu wa kujenga kwa kudunduliza,
Napokea maoni, mawazo,
Salaam waungwana,

Mkuranga , mchanga ni bure , tofali za kuchoma , unaweza weka tope kati ya tofali na tofali badala ya cement, hivyo vingine unadunduliza kajumba unajengaLaki mbili ndo kila kitu? Kwamba kula na kulipa Kodiak? Sijui ufanye bajet ya namna gan ili uaze kupata hiyo hela ya ujenzi
Labda kama una sponsor, kwani baba yake na mtoto yuko wapi msaidianeSalaam waungwana,
Mimi ni mwanamke mwenye mtoto mmoja kiu yangu kubwa ni kupata kijumba changu kidogo tustirike na mwanangu, naombeni mnitie moyo je kwa shilingi laki mbili kwa mwezi naweza kujenga chumba, sebule, jiko dogo na choo? kiwanja kipo tayari maeneo ya Mkuranga, hili jambo linaniwazisha hadi nakosa usingizi natamani sana nipate kwangu ila kila nikifurukuta kipato changu ndio hicho,
Mtoto bado mdogo hajaanza kusoma, natamani niwe nimekamilisha kabisa ndoto yangu ya kua na kwangu kabla sijaingia kwenye heka heka za kusomesha.
Nimelileta huku najua kuna mafundi na wenye uzoefu wa kujenga kwa kudunduliza,
Napokea maoni, mawazo.
Hapa ungeanza na UNDER CETERIS PARIBUS 😁😊Inawezekana kabisa.
Mkuranga Mchanga bei Rahisi.
Na sehem nying ni tambarare.
200k kwa mwaka ni 2.4 Mill.
Unaweza kuweka msing wa hiyo nyumba unayoitaka alaf ukanyanyua kwanza Chumba 1 na kuezeka. Alaf mwaka wa 2. Ukamalizia sebule na jiko. Na mwaka wa tatu ukafanya finishing.
Jipe miaka 4 hapo . Na Inawezekana kabisa.
Karibu posso possoa hardware utajenga kwa 5000 kidogo kidogoSalaam waungwana,
Mimi ni mwanamke mwenye mtoto mmoja kiu yangu kubwa ni kupata kijumba changu kidogo tustirike na mwanangu, naombeni mnitie moyo je kwa shilingi laki mbili kwa mwezi naweza kujenga chumba, sebule, jiko dogo na choo? kiwanja kipo tayari maeneo ya Mkuranga, hili jambo linaniwazisha hadi nakosa usingizi natamani sana nipate kwangu ila kila nikifurukuta kipato changu ndio hicho,
Mtoto bado mdogo hajaanza kusoma, natamani niwe nimekamilisha kabisa ndoto yangu ya kua na kwangu kabla sijaingia kwenye heka heka za kusomesha.
Nimelileta huku najua kuna mafundi na wenye uzoefu wa kujenga kwa kudunduliza,
Napokea maoni, mawazo.
Nimeona matangazo yao hawa majamaa.Karibu posso possoa hardware utajenga kwa 5000 kidogo kidogo
Ukiwatafuta unakuta story ni tofauti kabisaaNimeona matangazo yao hawa majamaa.
Wakoje. Hebu Fafanua.