Ukiwatafuta unakuta story ni tofauti kabisaa
NimekuelewaMm nikadhan kwamba unaingia nao mkataba. Na Unawekeza . Mfano Kila siku au baaada ya muda unaweza kuanza kuweka/kutuma kuanzia 5k. Alaf kuna
Kiwango ukifika mfano 500k. Basi unaweza kukopa nusu ya hiyo hela na ukachukua mzigo wa 750k.
Na ukaendelea kulipa kwa muda fulan bila interest.
Ila pia utaratibu mwingne (kujua eneo la ujenzi na kujicommit utamaliza lini deni) unafuatwa.
Nia ni kusaidia wanaojenga kwa kuwakopesha vifaa. Na kulipa Kwa hali ya unafuu na affordability.
Sina uhakika. Ila Ni project hii mtu mwenye mtaji wa hardware anaweza kufanya.
Lakini sio kwa laki mbili hata iweje labda iyo laki mbili ndo akiba sio kipato hapo atajenga Choo tena bila chembaMkuranga , mchanga ni bure , tofali za kuchoma , unaweza weka tope kati ya tofali na tofali badala ya cement, hivyo vingine unadunduliza kajumba unajenga
Hujaulizwa wewe laki 2 unaifanyia nn mkuu yeye kaulizia inaweza kumjengea nyumba akaishi na mtoto wake. Hela ya mafuta ya gar yako inahusiana vip na mada iliyopo?Laki2 pesa Yangu ya mafuta ya gari Kwa wiki.
Sijui niiweke vipi naona sijaeleweka, laki mbili ndio pesa ya mkononi kila mwezi, bado nipo kwa wazaziUkiwa MWABAGALU hiyo ni pesa ndeefu sana sanaaa
😁
Kwa dar es salaam hio ni pesa ya nauli TU. Bado hujala bado familia bado kodii bado hujasaidia WAZEE bado hujapiga BIA nachoka mie clemence mwandambo
Ahsante sana, kwa maana hiyo natakiwa niwe naisave mwaka hadi mwaka nafanya kitu, umenipa mwangaInawezekana kabisa.
Mkuranga Mchanga bei Rahisi.
Na sehem nying ni tambarare.
200k kwa mwaka ni 2.4 Mill.
Unajenga msing wa hiyo nyumba unayoitaka alaf unanyanyua kwanza Chumba 1 na kuezeka. Alaf mwaka wa 2. Ukamalizia sebule na jiko. Na mwaka wa tatu ukafanya finishing.
Jipe miaka 4 hapo . Na Inawezekana kabisa.
Hii imenipa nguvu sana, ubarikiwe hadi ushangaeInawezekana lakini inabidi uishi kwa kudunduliza sana, na uepukane na anasa ya aina yoyote ile.
Kwa kuwa tayari una kiwanja, angalia kama kuna uwezekano wa kuanza kwa kufyatua matofali yako mwenyewe eneo la ujenzi kama udongo unaruhusu ili upunguze gharama za usafirishaji, kila mwezi hakikisha pesa yako inanunua material, nunua cement au nondo, hivi ndivyo utaweza kushinda mfumuko wa bei.
Pia, usijaribu kujenga nyumba nzima mara moja, anza kujenga sehemu itakayokupa makazi kwanza kisha uendelee kupanua kadiri kipato chako kitakavyokua.
Clemence Mwandambo niaje?Ukiwa MWABAGALU hiyo ni pesa ndeefu sana sanaaa
😁
Kwa dar es salaam hio ni pesa ya nauli TU. Bado hujala bado familia bado kodii bado hujasaidia WAZEE bado hujapiga BIA nachoka mie clemence mwandambo
Shukrani sana, nitakutafuta na ushauri nimeupokeaNifuate DM kuna namna fulani hvi naweza kukupush endapo utakua una nia ya kujenga.
lakini zingatia ulioambiwa hapo juu kwamb hutawez kujenga yote kwa pamoja kwa kipato hiko. anza chumba kimoja kimoja
Amen.Hii imenipa nguvu sana, ubarikiwe hadi ushangae