Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,152
- 8,631
Okay sawa, unaweza kujenga ila unahitaji commitment na uepuke luxuries kwenye ujenzi, kwa sasa unapaswa kupata bora nyumba kwanza, save kwa mwaka mmoja then anza, kingine usijilimit kwenye laki mbili milango ya mbingu bado iko wazi muda wa kuwa uko hai, usishangae wakati umeanza tu milango mingine mizuri na iliyo mema zaidi ikafunguka.laki mbili ndio pesa inayobaki
Kila la kheri.