Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,686
- 18,674
Acheni kumdanganya laki mbili ni pesa ya nauli kwenda site.
Usifanye hivi.Tofali nanunua au nafyatua hapo hapo site?
Ahsante ndugu hapa nimeelewa kabisa,Usifanye hivi.
Kuna asilimia kubwa mafund wakakuibia ratio ya cement na tofali zisitoke vizur.
Nunua tofali sehem inayoaminika.
Anza mdogo mdogo
Kwako inawezekana ni hela ndogo.Acheni kumdanganya laki mbili ni pesa ya nauli kwenda site.
Una mchoro?.Ahsante ndugu hapa nimeelewa kabisa,
Kwa hiyo nianze kununua matofali mdogo mdogo, je kwa chumba, sebule jiko na choo inaweza kuchukua tofali ngapi?
Yupo ilala kwenda site mkuranga atatumia punda au gari?Kwako inawezekana ni hela ndogo.
Ila kwa kuwekeza kwa miez 6 au mwaka ni hela inafanya kitu site.
Una mchoro?.
Kiwanja chako ni ngap kwa ngap?.
Unataka ujenge vyumba vya ukubwa gan?.
Kwa Kawaida chumba kidogo kabisa ni mita 3 kwa 3 (futi 10 kwa 10) na sebule ni mita 5 kwa mita 5 (futi 16 kwa 16)
Na choo ni mita 1 upana na urefu ni mita 2( futi 3 kwa futi 6).
Ww ni Single Mother. Sasa kwanza hebu anza kujua tofaut ya Mita na Futi ili Fund asikuzingue.
Pili , ndio ujue saiz ya nyumba yako unataka uwe na ukubwa gan.
Tatu chora kiraman chako na umuonyeshe Fund kuwa unataka hiki na hiki. Na kiwe wap na wapi.
Based na Vipimo vyako.
Na hapa ndio utajua tofali ngap utatumia kwenye msingi na kujengea.
You are Not serious bro.Yupo ilala kwenda site mkuranga atatumia punda au gari?
Laki 2 inabakia kila mwezi chumba na sebule na cchoo ndani tofali 700 tu. Kila tofali 1000. Tofali 700 laki 7 ndani ya miez minne tu anapata tofali zake.Nawaona waja mnamtia moyo binti kwenye kitu kisichowezekana, haya Endeleeni
Ok kila mwezi nunua matofali hio 200,000. Yakifika matofali 1,000 Anza kununua cement ikifika mifuko 20, Anza kununua nondo 10pcs zinakutosha., halafu nunua mchanga fuso ya 150,000 inakutosha. Kokoto utanunua za viroba kimoja 1,500, Ukikamilisha hivi tafuta fundi Anza ujenzi.Ndio inabaki hiyo laki mbili
Haya ni mahitaji ya vyumba vitatu, kimoja master na public toilet bila jiko, restroom wala storeOk kila mwezi nunua matofali hio 200,000. Yakifika matofali 1,000 Anza kununua cement ikifika mifuko 20, Anza kununua nondo 10pcs zinakutosha., halafu nunua mchanga fuso ya 150,000 inakutosha. Kokoto utanunua za viroba kimoja 1,500, Ukikamilisha hivi tafuta fundi Anza ujenzi.
Je ana kuelewa habari ya ceteris peribus?Hapa ungeanza na UNDER CETERIS PARIBUS 😁😊
Ahsante sana tena sanaa, nilianza kunyongea nikiamini natakiwa nisave kwa mwaka mzima ndio nifanye kitu kumbe hii hii laki 2 inaweza kufanya kitu kila mwezi,Ok kila mwezi nunua matofali hio 200,000. Yakifika matofali 1,000 Anza kununua cement ikifika mifuko 20, Anza kununua nondo 10pcs zinakutosha., halafu nunua mchanga fuso ya 150,000 inakutosha. Kokoto utanunua za viroba kimoja 1,500, Ukikamilisha hivi tafuta fundi Anza ujenzi.