1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Hauna lolote wenye misimamo Kama kina Lisu mkawapiga risasi. Mwangosi mlimuuwa mbele ya dr slaa iringa alifanya nini na misimamo yake. Mnaleta siasa za kipuuzi tu.
Kwa hiyo Chadema ni Mbowe ?
Nyie ni miqoondoo kabisa .
Udikteta ukianzia kwenye chama hauwezi kuisha .
Unafikiri chadema kiliingia madarakani ndio atataka kuachia chama ?
Yaani anawadanganya kuwa bila yeye hakuna upinzani .
Harakati za kudai vyama vingi zilifanyika kwa jasho na damu .
Wetu walifukuzwa vyuo vikuu na kukosa ajira nono kwa sababu ya kupigania demokrasia sembuse huyo Mbowe mpiga dili wa kisiasa.
Ukisikiliza Hotuba ya Tundu Lisu kwenye msiba wa George kule Ikungi. Unaweza ukailinganisha ule ushuzi wa Mbowe kule Tanga mbele ya waziri wa mambo ya ndani .
Lisu anajua mambo ya kisheria na anakua lakini sana kwenye kuyazungumza japo anatumia kauli kali .
Mbowe alikurupuka tu eti Samia Must go . Lini Chama cha siasa kikamoa madarakani Rais aliyechaguliwa kama sio uhuni ?
Akili zenu zimegandishwa na haya mavyama matokeo yake Demokrasia inakwama . CCM ndo kila mmoja analinda chama kisimfie mikononi mwake kwa gharama yoyote. Mbowe naye analia kiti eti wengine watauza chama . Matokeo yake ni uwenyekiti wa maisha . Hakuna demokrasia ya hivyo .
NCCR ilikufa wanachama wake wanakimbilia Chadema .
CUF ilikufa wanachama wake wakakimbilia ACT wazalendo . Waliogopa kujiunga na Chadema kwasababu ni chama ambacho ni mali ya mtu na wale ni wanasiasa .