CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Ni ukweli usiopingika kwamba Kwa sasa hari ya kibiashara sio nzuri sana na hii inasababishwa na mambo mengi mni mengine tunayajua na mengine tunaweza kuwa hatuyajui kabisa.
Kuna Biashara nyingi sana zimefungwa na zingine juamua kupunguza gharama za uendeshaji.
Ila situation kama hizi huwa zipo nchi nyingi sana. Na kwa mtazamo wangu kuna Industry haijaathiriwa sana.
1. Food Industry
Hii ndo sekita ambayo huwa inaaminika hata kama kuna misuko suko ya aina gani ya kiuchumi basi huwa haiteteleki sana.
Chakula ni necessity goods, ni lazima watu wale, hivyo lazima vyakula vinunuliwe tu na watu wale, hakuna namna ya kukwepa kula.
Hivyo Kilimo kinaaminika huwa ni sekita ambayo huwa haitetekeki kabisa na na misukosuko ya kiuchumi. Cash crop inaweza athirika ila sio Food crop.
2. Sekita ya Afya
Hii nayo haina mbadala, lazima uende ukatibiwe na hata kaka ni mitishamba bado lazima ukainunue tu.
Sekita ya afya nayo huwa haipati shida sana kwa sababu ya umuhimu wake.
3. Transport
Hii ni kwa public transport kama kupanda Dalaldala na kadhalika, huwezi tembea kwa mguu kutoka Dar hadi Moro au kutoka Arusha hadi Babati au kutoka Mwanza hadi Musoma.
Unaweza kwepa kupanda usafiri wa gharama kama ndege ila bado utapabda basi.
Hizo ni Biashara ambazo huwa hazuteteleki sana ukilinganisha na biashara zingine.
Biashara zote zenye mbadala au ambazo Binadamu hawezi athirika akizikosa basi huwa zinapata shida sana kipindi cha uchumi mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app