Kwa kipindi hiki cha Hapa kazi tu ni Biashara/Project zipi hazijaathiriwa?

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Ni ukweli usiopingika kwamba Kwa sasa hari ya kibiashara sio nzuri sana na hii inasababishwa na mambo mengi mni mengine tunayajua na mengine tunaweza kuwa hatuyajui kabisa.

Kuna Biashara nyingi sana zimefungwa na zingine juamua kupunguza gharama za uendeshaji.

Ila situation kama hizi huwa zipo nchi nyingi sana. Na kwa mtazamo wangu kuna Industry haijaathiriwa sana.

1. Food Industry
Hii ndo sekita ambayo huwa inaaminika hata kama kuna misuko suko ya aina gani ya kiuchumi basi huwa haiteteleki sana.
Chakula ni necessity goods, ni lazima watu wale, hivyo lazima vyakula vinunuliwe tu na watu wale, hakuna namna ya kukwepa kula.
Hivyo Kilimo kinaaminika huwa ni sekita ambayo huwa haitetekeki kabisa na na misukosuko ya kiuchumi. Cash crop inaweza athirika ila sio Food crop.

2. Sekita ya Afya
Hii nayo haina mbadala, lazima uende ukatibiwe na hata kaka ni mitishamba bado lazima ukainunue tu.
Sekita ya afya nayo huwa haipati shida sana kwa sababu ya umuhimu wake.

3. Transport
Hii ni kwa public transport kama kupanda Dalaldala na kadhalika, huwezi tembea kwa mguu kutoka Dar hadi Moro au kutoka Arusha hadi Babati au kutoka Mwanza hadi Musoma.
Unaweza kwepa kupanda usafiri wa gharama kama ndege ila bado utapabda basi.

Hizo ni Biashara ambazo huwa hazuteteleki sana ukilinganisha na biashara zingine.

Biashara zote zenye mbadala au ambazo Binadamu hawezi athirika akizikosa basi huwa zinapata shida sana kipindi cha uchumi mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia residential real estate, commercial real estate kunawiri kwake kunathiriwa sana na hali ya uchumi, kariakoo saiv frem unapata na wanakubali hata miezi 6
 
kwenye transport impact ipo kwa mfano bandari haina mizigo mingi automatic magari yakubebea mizigo wanayapark
un necessary movement lazima zipungue
 
Mkuu kukiwa na hali ngumu sector zote lazima zitapata mosukosuko. Kumbuka watu mapato yamepungua hivyo hata consuption pattern lazima itabadilika. Nyama italiwa mara moja kwa wiki sio mara tatu , muhogo utaliwa badala ya mkate, milo itakua miwili badala ya mitatu n.k

Vivyo hivyo usafiri watu watapunguza kusafiri na safari fupi fupi watatembea badala ya kupamda daladala.
 
Huo muhogo ni Chuma? mkuu kinacho badilika ni aina ya yakula lakini kula watu lazima wale sawa?

Hata wakati wa Vita kuu ya pili ya Dunia viwanda vyote vilisitisha uzalishaji isipo kuwa tu Food industry na sekita ya Afya.

Haijalishi unatiwa Muhimbili au Duka la Dawa au kwa Mganga wa kienyeji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kukiwa na hali ngumu sector zote lazima zitapata mosukosuko. Kumbuka watu mapato yamepungua hivyo hata consuption pattern lazima itabadilika. Nyama italiwa mara moja kwa wiki sio mara tatu , muhogo utaliwa badala ya mkate, milo itakua miwili badala ya mitatu n.k

Vivyo hivyo usafiri watu watapunguza kusafiri na safari fupi fupi watatembea badala ya kupamda daladala.
Naongelea vitu ambayo ni muhimu sana na ambavyo kwa mazingira ya sasa havina Mbadala. Chakula.hakina mbadala haijalishi unakula Keki au Ugari au Maembe ila zote zinaangukia kwenye Chakula.

Watu wanapunguza safari lakini wanasafiri na wanapunguza safari za mbali. Kwa hiyo kazini uataacha kwenda ili kubana matumizi? Unakaa Mbezi na.ofisi ni Posta utatembea kwa mguu? posible ukiamka asubuhi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu usichokijua kinaitwa substitution effect vs income effect. Lakini pia unasahau vitu vyote haviwezi kuacha kuzalishwa lazima vitaendelea kuwa consumed but at slow rate.

Huna pesa ya mchele utaununuaje? Hunapesa nyama, muhogo, mchicha utaununuaje? Utazalishaje mchele na hunapesa ya mbolea?

Hivyo tunappsema effect ni kwamba consumption itapungua al long as income is affected
 
Ni ukweli usiopingika kwamba Kwa sasa hari ya kibiashara sio nzuri sana na hii inasababishwa na mambo mengi mni mengine tunayajua na mengine tunaweza kuwa hatuyajui kabisa.

Kuna Biashara nyingi sana zimefungwa na zingine juamua kupunguza gharama za uendeshaji.

Ila situation kama hizi huwa zipo nchi nyingi sana. Na kwa mtazamo wangu kuna Industry haijaathiriwa sana.

1. Food Industry
Hii ndo sekita ambayo huwa inaaminika hata kama kuna misuko suko ya aina gani ya kiuchumi basi huwa haiteteleki sana.
Chakula ni necessity goods, ni lazima watu wale, hivyo lazima vyakula vinunuliwe tu na watu wale, hakuna namna ya kukwepa kula.
Hivyo Kilimo kinaaminika huwa ni sekita ambayo huwa haitetekeki kabisa na na misukosuko ya kiuchumi. Cash crop inaweza athirika ila sio Food crop.

2. Sekita ya Afya
Hii nayo haina mbadala, lazima uende ukatibiwe na hata kaka ni mitishamba bado lazima ukainunue tu.
Sekita ya afya nayo huwa haipati shida sana kwa sababu ya umuhimu wake.

3. Transport
Hii ni kwa public transport kama kupanda Dalaldala na kadhalika, huwezi tembea kwa mguu kutoka Dar hadi Moro au kutoka Arusha hadi Babati au kutoka Mwanza hadi Musoma.
Unaweza kwepa kupanda usafiri wa gharama kama ndege ila bado utapabda basi.

Hizo ni Biashara ambazo huwa hazuteteleki sana ukilinganisha na biashara zingine.

Biashara zote zenye mbadala au ambazo Binadamu hawezi athirika akizikosa basi huwa zinapata shida sana kipindi cha uchumi mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
ce60e86954db70d373be2a216fd9bac3.jpg
za maji

}|~[emoji813]
 
Mkuu kukiwa na hali ngumu sector zote lazima zitapata mosukosuko. Kumbuka watu mapato yamepungua hivyo hata consuption pattern lazima itabadilika. Nyama italiwa mara moja kwa wiki sio mara tatu , muhogo utaliwa badala ya mkate, milo itakua miwili badala ya mitatu n.k

Vivyo hivyo usafiri watu watapunguza kusafiri na safari fupi fupi watatembea badala ya kupamda daladala.

Mkuu uko sahihi kabisa..hizi biashara zinaenda kwa kutegemeana, moja ikiyumba lazima na nyingine iguswe kwa kiasi flani
 
Kuna kitu usichokijua kinaitwa substitution effect vs income effect. Lakini pia unasahau vitu vyote haviwezi kuacha kuzalishwa lazima vitaendelea kuwa consumed but at slow rate.

Huna pesa ya mchele utaununuaje? Hunapesa nyama, muhogo, mchicha utaununuaje? Utazalishaje mchele na hunapesa ya mbolea?

Hivyo tunappsema effect ni kwamba consumption itapungua al long as income is affected
Vinaweza patikana kwa Ku import. Somalia kwani hawali? unazani wanatia wapi chakula?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kwny afya jamaa ameshusha sana bei za huduma kwenye vituo vya serikali hvyo kuifanya sekta binafs kushindwa kwenye ushindan ukijumuisha na upatkanaji wa dawa na vifaa tiba kwa bei rahis ndio kabisaaa
 
Back
Top Bottom