GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nijibuni haraka upesi tafadhali kwani kuna Mwanafunzi wa Lugha ya Kiswahili Mgeni anataka kujua na Mimi wala sijui.
Ute-uzi
Utoko au Ukoko Uke?utoko...
hili ndio neno sahihi katika kamusi, na wahenga tumekuwa tukilitumia enzi za utoto na ujana wetu
Utoko au Ukoko Uke?
basi kwasisi wasanifu tunasema akileta utako tunakula utoko,na akileta utoko tunakula utako halafu bilingebilinge tunakamia mpaka jasho!..😁Utoko mzee baba, ni koswahili sanifu kabisa...
utoko
(toko) ute unaotoka katika uke wa mwanamke wakati wa kujamiiana au anapopata hisia za kutaka kujamiiana
hicho sio Kiswahili jiheshimu!Palmiliosiss
Tumia neno kujiheshimu linapotakiwahicho sio Kiswahili jiheshimu!