Kwa Kiswahili fasaha ule Ute Ute mweupe na usionuka unaopatikana Ukeni wakati wa Tendo la Ndoa / Uzinifu unaitwaje?

Binafsi sijui unaitwaje na hii ni changamoto kubwa sana katika lugha ya Kiswahili. Misamiati ni michache sana hasa kwenye maneno ya kiufundi, sayansi na teknolojia ukilinganisha na lugha ya Kingereza. Sababu hii ilinifanya niandike app ya Android ambayo inaitwa KuKi, (Kuza Kiswahili). Iko live tayari na bure kwenye Google play store. Ni rahisi kutumia na idea kubwa ni kujumuisha jamii kuja na translation ya maneno ya Kingereza ambayo hayana tafsiri kamili ya Kiswahili. Naamini huyo rafiki yako ana maneno mengi zaidi angependa kujua tafsiri yake kwa hiyo unaweza kumuelekeza kuhusu hii app. Kila la heri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…