Clever505
JF-Expert Member
- Jul 27, 2020
- 2,282
- 3,351
Habari zenu wakuu! Poleni na msiba wa kitaifa uliopo.
Naombeni mawazo yenu kwenye hiki kilichotokea kwangu, ni kwamba nilikuwa nachati na demu wangu night kali sana na tukawa tunanye**Geshana hatari, si mnajua tena mambo yetu vijana. Sasa akanitumia picha ya kuleta hamasa zaidi ya kusex kisha baadae kidogo akatuma tena picha ileile ila ameizoom sana kwa hiyo imeonekana imelengwa kwenye kisehemu hichohicho alichokizoom maana kilikuwa kinaonekana kizuuuri sana.
Cha kushangaza ni kwamba hiyo picha ambayo ameizoom imekuja kwangu ikiwa imeandikwa FORWARDED nikashtuka, kumuuliza akajibu kwamba hiyo picha aliipiga kwa simu ya rafiki yake ndio akajirushia yeye kisha akairusha kwangu nikaachana na hiyo mada tukaendelea na mambo yetu. Ila napata wasiwasi sana inakuwaje picha orijino ya mwanzo haikuandika forwarded ila hiyo aliyoizoom ndio iwe forwarded? Naombeni ushauri wenu kwa mnaojua kuhusu hilo.
ila kabla sijaandika mkasa wangu huu kwenu nimewaza kwamba, inawezekana aliituma ile picha kwangu na kwa mtu mwingine, kisha huyo mtu akaipenda ile sehemu ambayo akaamua kuizoom na kumrudishia demu wangu kuonesha kwamba pengine ameipenda baada ya hapo dem bila kufikiria sana akanitumia mimi na inawezekana hakujua kama ikifika kwangu itaandika forwarded.
Je mawazo yangu yapo sahii au namuwazia tu vibaya?