Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,040
- 2,689
Kwanza nikupe pole, pole yangu inamaana tofauti kidogo, wewe ndo mwenye makosa!
Kwenye mahusiano kila mmoja hukitahidi kwa kadri awezavyo ili kuepuka kumuumiza mwenzie, matokeo ya wewe ku demand picha ndo yamezaa haya. Ungekuwa vizuri upstairs usingethubutu kufanya hivyo. Kumbuka huyo mwanamke mmekutana ukubwani, alikuwa na washikaji pengine alisoma nao na walikuwa wanamgegeda au kum demand, huwezi jua wamemvuta au wanachatt nae kwa kiwango gani hadi anafikia mahali anaona kumbe kutuma picha za namna hiyo ni kitu cha kawaida kwani hata mpenzi wake ambaye ndo wewe unapenda,
Chunguza kwa makini na kama itakuwa kweli ipo siku utam bamba! Jipe moyo na ujifunze, kama mtu ni wife material wako usimtengenezee au kumfundisha mambo ya hovyo, kumbuka huyo atakulelea watoto wako, remember wanadamu tunapenda KUJIFUNZA na kuona wengine watasema nini, huenda ilikuwa sababu ya yeye kuipost ili apate comments kwa wadau, be careful!
Pole Sana!