Kwa kitendo hiki haitoshi kuamini kwamba mpenzi wangu ananisaliti?

Ni kweli mkuu,hao ni wale mademu wanaodanga.
Picha moja anaweza kuirusha hata kwa watu 4 kwa lengo la kuwatamanisha ili awapige hela.
 
Kikubwa uhai tu mzee tuishi tu,, hapo huna chako
 
Vijana wanahangaishwa na mambo ya kipuuzi yanayoangamiza maisha Yao!!!!!......
 
Oya kaa mbali kuna mjumbe ashakata jina lako huko
 
Oya kaa mbali kuna mjumbe ashakata jina lako huko
 
Mimi nitaweza kuchangia baada ya kujua hiyo picha ilipigwa sehemu gani ya mwili... ..
 
Hio picha mlitumiwa wengi
 
Mimi nilipoona ile forwarded hisia zikakata kabisa hadi time hii, kila akinitumia sms hata sishawishiki kabisa kumjibu.
Sio wako peke yako mkuu, wewe mjibu tu na ikibidi mtengenezee mazingira ya kumgegeda Tena then ukiamua mbeleni kumtema umteme kiroho safi.
 
Nyie wote hamjielewi mnatumiana picha za uchi ili iweje, mwanamke mwenye standard na anayejua thamani yake kamwe hatumi picha za utupu ili kumfuraisha mhuni mwenzake, na Kama kakutumia wewe ujue hutuma kwa wengi.
Maandiko yanatesa ikimbie zinaa nyie vijana ndo mwaipenda
 
Duuh mzee picha lishaunguaa hapaaa...!! Hapo fanya yakoo achana naeee kabisaa...
 
Naomba nirushie hiyo picha iliyokuwa zoomed nikushauri. Halafu umeambiwa umuoe unamwacha unaona sasa mtoto wa watu adanga
 
Kwa kujazia tu hapo ni kuwa kama ameweza mrushia yeye it means wapo wengine anaoweza warushia bila kusita kama alivyomrushia yeye....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…