Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,040
- 2,689
Ushauri wako ni mzuri SANA asante nitaufanyia kazi...watu wanafikiri mi nimetunga tu hii Habari ila ni kitu ya kweli...chatting zake za kujitetea ninazo hadi sasa japo mapicha niliyafuta kwa hasira.Kwanza nikupe pole, pole yangu inamaana tofauti kidogo, wewe ndo mwenye makosa!
Kwenye mahusiano kila mmoja hukitahidi kwa kadri awezavyo ili kuepuka kumuumiza mwenzie, matokeo ya wewe ku demand picha ndo yamezaa haya. Ungekuwa vizuri upstairs usingethubutu kufanya hivyo. Kumbuka huyo mwanamke mmekutana ukubwani, alikuwa na washikaji pengine alisoma nao na walikuwa wanamgegeda au kum demand, huwezi jua wamemvuta au wanachatt nae kwa kiwango gani hadi anafikia mahali anaona kumbe kutuma picha za namna hiyo ni kitu cha kawaida kwani hata mpenzi wake ambaye ndo wewe unapenda,
Chunguza kwa makini na kama itakuwa kweli ipo siku utam bamba! Jipe moyo na ujifunze, kama mtu ni wife material wako usimtengenezee au kumfundisha mambo ya hovyo, kumbuka huyo atakulelea watoto wako, remember wanadamu tunapenda KUJIFUNZA na kuona wengine watasema nini, huenda ilikuwa sababu ya yeye kuipost ili apate comments kwa wadau, be careful!
Pole Sana!
Akili unazo ila hujui kuzitumia... Fanya maamuziIla napata wasiwasi sana inakuwaje picha orijino ya mwanzo haikuandika forwarded ila hiyo aliyoizoom ndio iwe forwarded?
Kama huna mpango wakuoa, usiwekeze moyo kwenye mapenzi.Habari zenu wakuu! Poleni na msiba wa kitaifa uliopo.
Naombeni mawazo yenu kwenye hiki kilichotokea kwangu, ni kwamba nilikuwa nachati na demu wangu night kali sana na tukawa tunanye**Geshana hatari, si mnajua tena mambo yetu vijana. Sasa akanitumia picha ya kuleta hamasa zaidi ya kusex kisha baadae kidogo akatuma tena picha ileile ila ameizoom sana kwa hiyo imeonekana imelengwa kwenye kisehemu hichohicho alichokizoom maana kilikuwa kinaonekana kizuuuri sana.
Cha kushangaza ni kwamba hiyo picha ambayo ameizoom imekuja kwangu ikiwa imeandikwa FORWARDED nikashtuka, kumuuliza akajibu kwamba hiyo picha aliipiga kwa simu ya rafiki yake ndio akajirushia yeye kisha akairusha kwangu nikaachana na hiyo mada tukaendelea na mambo yetu. Ila napata wasiwasi sana inakuwaje picha orijino ya mwanzo haikuandika forwarded ila hiyo aliyoizoom ndio iwe forwarded? Naombeni ushauri wenu kwa mnaojua kuhusu hilo.
ila kabla sijaandika mkasa wangu huu kwenu nimewaza kwamba, inawezekana aliituma ile picha kwangu na kwa mtu mwingine, kisha huyo mtu akaipenda ile sehemu ambayo akaamua kuizoom na kumrudishia demu wangu kuonesha kwamba pengine ameipenda baada ya hapo dem bila kufikiria sana akanitumia mimi na inawezekana hakujua kama ikifika kwangu itaandika forwarded.
Je mawazo yangu yapo sahii au namuwazia tu vibaya?
Acha kuwaza kuoa , weee bado mdogo sana .Nilitaka nimuoe ila baada ya hiyo kutokea nimejikuta sina tena wazo la kuoa