JF haili bando ila ukiwasha DATA magroup ya Whatsapp yanakumalizia bando haraka,GB siyo kitu kwa siku. Tembelea maofisini uone watu wanavyokua online kwenye device za kazini. Kazini watu wanadaunilodi mazaga yote yanayokula MB, wakirudi nyumbani nikuangalia tu.Ili kauli yako ipate mashiko ingia majukwaa yote hasa lile la "wazee wa kubet" uone kama watu wametulia ama la.
Kwa ujumla weekend watu huwa wanapumzika plus kukutana na wadau mbalimbali yaani weekend ni FACE TO FECE DISCUSSION ila Jtatu - Ijumaa ni KEYBOARD TO KEYBOARD DISCUSSION.
Btw JF wala haitumii bundle kivile mpaka mtu ashindwe na kutegemea internet ya mtelezo ofisini. Labda ile miaka ya 2013 kurudi nyuma watu walikuwa wanategemea device za ofisini kutokana na smartphone hazikuwepo kivile na matumizi application hayakuwa kivile
Kutumia JF ni kama kucheat hivi!!?🤣Weekend watu wanashinda nyumbani na wapenzi wao. Huku kila mmoja anahakikisha mwenzake hajui kama anatumia jf.
Zaidi ya kucheat. Yaani chunga sana usikamatwe na mpenzi wako halafu ukute na yeye yupo humu😂Kutumia JF ni kama kucheat hivi!!?🤣
Jumamosi na Jumapili ni siku watu wako busy na maisha yao binafsi na kujirushaIjumamosi na jumapili wachangiaji huwa wachache na mada hazitembei sana.
Hii imenifanya kuhitimisha kwamba wachangiaji wengi wa JF wanalogin wakiwa makazini kwa kutumia net za maofisi yao na device za ofisi zao.
Niliangalia specifically JF kama mleta mada alivyokuja, by the way upo sahihi Kwa hiyo ya ku-download lakini hata hivyo Whatsapp pia haitumii bundle kama utaji-control labda kama upo kwenye magroup executive yanayotuma video clips ambazo ni lazima u-download lakini magroup haya ya kutuma vibonzo ni kujiku-control tu Kwa kuzuia "auto-download" Kwa video tu maana video moja ya 40mb inaweza ikawa imetumwa kwenye magroup 4 maana yake ikiwa ni auto-download zinakuwa zimekwenda 160mb lakini ukiwa umeweka off maana yake utafungua video clip moja zingine unazipotezea kwenye magroup mengine.JF haili bando ila ukiwasha DATA magroup ya Whatsapp yanakumalizia bando haraka,GB siyo kitu kwa siku.Tembelea maofisini uone watu wanavyokua online kwenye device za kazini.Kazini watu wanadaunilodi mazaga yote yanayokula MB,wakirudi nyumbani nikuangalia tu.
Bando ni ghali,hao wakubeti ni majobless wengi.