Kwa kuangalia uchangiaji wa mada nimegundua watumiaji wengi wa JF hutumia device za maofisini mwao

Hili hata mimi nimeliona. Labda weekend kunakuwa hakuna sana habari na matukio ya siasa. Maana insta na facebook weekend ndiyo zinabamba.
Upo sahihi....content nyingi Jtatu - Ijumaa alafu siku kama ya kesho ukifungua radio na Tv ni yaliyojiri weekend. Hata vipindi tu vya Jmosi na Jpili vya kijamii zaidi.
 
Wewe unatumia ipi kati ya hizo ulizosema?
 
Kuanzia ijumaa jioni, jmosi mpaka j2 tuko busy Bar tunakunywa na kuangalia game mbali mbali huo muda wa kuchangia tunaoutoa wapi ?😀
 
[emoji3581][emoji3581]Uko sahihi kwa 99.9% japo kenge nyingi zinakubishia humu ila ndoivo ukweli mchungu.

Waafrika wanapiga soga sana huko makazini

Inabidi mkoloni arudi tena watu wachape kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…