mkuu hii mechi Simba ikiyopoteza ni kwa ajili Gomes hayupo bench mwisho wa siku eti wanawasiliana kwa simuHitimana ni kocha ambaye Biashara utd hawamtaki, NaMuNgO pia hajawaletea mafanikio,lakini[emoji881]kwao ni bonge la kocha,duuuu dunia haishiwi viroja.
lini umekuwa simba?Kuna Vitu vya Kipumbavu mno vinafanyika Simba SC na naomba leo Simba SC tufungwe au tutoke tu Sare na Police Tanzania ili Hasira zangu za Kufungwa 'Kimipango' na Jwaneng Galaxy nizijumuishe na za leo Usiku nije na Uzi wa Kusema Siri za Upumbavu wote uliopo na unaoendelea Simba SC.
Hivi mmeshindwa nini kwa Kipindi hiki cha mpito tu hata Kumkabidhi Timu Mtani wangu wa 'Kiha' Kocha Selemani Matola akisaidiwa na Musa Hassan Mgosi huku ndani ya Wiki Mbili au Tatu zijazo kabla hatujakutana na Red Arrows ya Zambia muwe mmeshampata Kocha Mkuu na wa uhakika?
Yaani Simba SC kabisa ni ya Kufundishwa na Kocha 'mbovu' Thiery Hitimana ambaye hata tu Wachezaji 'Waandamizi' wa Simba SC na Mmoja wa Kigeni (GENTAMYCINE niliobahatika Kuzungumza nao Kiushkaji wetu) wanasema hakuna Kocha hapo?
Hivi unamfukuzaje Kocha wa Viungo Zrane ambaye 100% ya Wachezaji wa Simba SC si tu wanamkubali pia wanampenda mpaka na Sisi Mashabiki kutokana na Kazi yake Kuonekana halafu unamuacha Mtathmini Mkuu wa Mechi (Team Performance Analyst) wa Simba SC 'Mzimbabwe' ambaye huyu ndiyo Jicho Kuu la Kiufundi na Kiushauri kwa Kocha Mkuu na Benchi zima la Ufundi?
Kudadadeki leo nashangilia Police Tanzania na kwa 'Mkakati' wao walioupanga kwa Kusaidiwa na Yanga SC tokea Jumapili mpaka baadhi ya Wachezaji wao Kusafirishwa 'Kimafia' na Yanga SC kwenda kwa Yule Mganga wao Mahiri wa Nungwi Pemba na kurejea 'kimya kimya' Jana (Jumatatu) Asubuhi Ushindi wa Simba SC leo ni Sare tu ila Kufungwa ni Kukubwa na Mimi nataka leo tufungwe ili 'Mgogoro' mkubwa uibuke (uzuke) tupigane na tuchapane vizuri kwani tumeshachoka Kuvumilia Upumbavu uliopo.
Upo sahihiWewe na Genta wote wapuuzi tu hamtaki kufuatilia habari afu mnakuja hapa kuandika ukuda
Gomez na hao makocha wawili hawana vyeti vya kuendelea kubaki simba na taarifa walishapewa tangu tar10 na TFF
Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
Labda mtashinda njaaLeo tunashinda punguza Jazba
Zrane kaonewa hapakuwa na sababu yoyote ya kumfukuza, huku kutoa watu muhanga kwa manufaa ya wachezaji kutaiponza klabu wanadeka sana wale mafaza uchwara.
Labda mtashinda njaa
Timu ilivyofika Robo Fainali mara Mbili ( CAF CL ) na Kuchukua Vikombe vya Ligi na FA mfululizo Wachezaji hawakuwa na vyote hivi tena chini ya huyu huyu Kocha wa Viungo Zrane? Nasubiri jibu lako upesi sana tafadhali.Wachezaji kukosa Stamina, Nguvu, Physical fitness na kuumia ovyo ulitaka awajibishwe nani?
Timu ilivyofika Robo Fainali mara Mbili ( CAF CL ) na Kuchukua Vikombe vya Ligi na FA mfululizo Wachezaji hawakuwa na vyote hivi tena chini ya huyu huyu Kocha wa Viungo Zrane? Nasubiri jibu lako upesi sana tafadhali.
Majungu yamezidi ameamua kwa hiari yake Mwenyewe kuvunja mkataba.Kamwe Huwezi kuchangaji maji na mavuta . Matola/ Hitimana hawa ni maji wakati Pablo ni mafuta
Mightier iko mzigoniKuna Vitu vya Kipumbavu mno vinafanyika Simba SC na naomba leo Simba SC tufungwe au tutoke tu Sare na Police Tanzania ili Hasira zangu za Kufungwa 'Kimipango' na Jwaneng Galaxy nizijumuishe na za leo Usiku nije na Uzi wa Kusema Siri za Upumbavu wote uliopo na unaoendelea Simba SC.