Kwa kumbakiza Kocha Hitimana Simba SC na kumfukuza Kocha wa Viungo Zrane natamani leo tufungwe au 'tudroo' na Polisi Tanzania

Hitimana ni kocha ambaye Biashara utd hawamtaki, NaMuNgO pia hajawaletea mafanikio,lakini[emoji881]kwao ni bonge la kocha,duuuu dunia haishiwi viroja.
mkuu hii mechi Simba ikiyopoteza ni kwa ajili Gomes hayupo bench mwisho wa siku eti wanawasiliana kwa simu
 
Kuna Vitu vya Kipumbavu mno vinafanyika Simba SC na naomba leo Simba SC tufungwe au tutoke tu Sare na Police Tanzania ili Hasira zangu za Kufungwa 'Kimipango' na Jwaneng Galaxy nizijumuishe na za leo Usiku nije na Uzi wa Kusema Siri za Upumbavu wote uliopo na unaoendelea Simba SC.

Hivi mmeshindwa nini kwa Kipindi hiki cha mpito tu hata Kumkabidhi Timu Mtani wangu wa 'Kiha' Kocha Selemani Matola akisaidiwa na Musa Hassan Mgosi huku ndani ya Wiki Mbili au Tatu zijazo kabla hatujakutana na Red Arrows ya Zambia muwe mmeshampata Kocha Mkuu na wa uhakika?

Yaani Simba SC kabisa ni ya Kufundishwa na Kocha 'mbovu' Thiery Hitimana ambaye hata tu Wachezaji 'Waandamizi' wa Simba SC na Mmoja wa Kigeni (GENTAMYCINE niliobahatika Kuzungumza nao Kiushkaji wetu) wanasema hakuna Kocha hapo?

Hivi unamfukuzaje Kocha wa Viungo Zrane ambaye 100% ya Wachezaji wa Simba SC si tu wanamkubali pia wanampenda mpaka na Sisi Mashabiki kutokana na Kazi yake Kuonekana halafu unamuacha Mtathmini Mkuu wa Mechi (Team Performance Analyst) wa Simba SC 'Mzimbabwe' ambaye huyu ndiyo Jicho Kuu la Kiufundi na Kiushauri kwa Kocha Mkuu na Benchi zima la Ufundi?

Kudadadeki leo nashangilia Police Tanzania na kwa 'Mkakati' wao walioupanga kwa Kusaidiwa na Yanga SC tokea Jumapili mpaka baadhi ya Wachezaji wao Kusafirishwa 'Kimafia' na Yanga SC kwenda kwa Yule Mganga wao Mahiri wa Nungwi Pemba na kurejea 'kimya kimya' Jana (Jumatatu) Asubuhi Ushindi wa Simba SC leo ni Sare tu ila Kufungwa ni Kukubwa na Mimi nataka leo tufungwe ili 'Mgogoro' mkubwa uibuke (uzuke) tupigane na tuchapane vizuri kwani tumeshachoka Kuvumilia Upumbavu uliopo.
lini umekuwa simba?
 
huna ujanja wa kuanika siri za simba haoa hata kama unazijua..huwaga unasema ivi alafu unakimbia!!
 
Hawa simba nao hasara nyingne za makusudi uyo mtathimin anatathimin nn timu unafungwa kizembe vile
 
Nakumbuka mashabiki wa Simba walikuwa wanalia kama ng'ombe "mooo!! Mooo!! Mooo!"

Wayback
 
dah! wawa ungeupiga kichwa ule mpira yote haya tusingeyaona, wanasimba punguzeni jazba tunaiharibu zaidi team yetu.
 
bodi ya ligi iliwambia simba kwamba mtunisia na mbrazil hawana vyeti vya kufanya kazi hapa mechi ya mwisho ilikuwa ya dodoma jiji
 
Zrane kaonewa hapakuwa na sababu yoyote ya kumfukuza, huku kutoa watu muhanga kwa manufaa ya wachezaji kutaiponza klabu wanadeka sana wale mafaza uchwara.
 
Wachezaji kukosa Stamina, Nguvu, Physical fitness na kuumia ovyo ulitaka awajibishwe nani?
 
Timu ilivyofika Robo Fainali mara Mbili ( CAF CL ) na Kuchukua Vikombe vya Ligi na FA mfululizo Wachezaji hawakuwa na vyote hivi tena chini ya huyu huyu Kocha wa Viungo Zrane? Nasubiri jibu lako upesi sana tafadhali.
 
Mbinu hubadilika! Hata hivyo Hayo yalikuwa ni maoni yangu tu! Enewey nimesikia Rumours kuwa nayeye ndiyo waliopitiwa na Rungu la CAF kuhusu kubadilika kwa Sheria iliyowafanya wakose sifa kama Gomez Ndiyomana Simba ikaachana naye.
 
Kuna Vitu vya Kipumbavu mno vinafanyika Simba SC na naomba leo Simba SC tufungwe au tutoke tu Sare na Police Tanzania ili Hasira zangu za Kufungwa 'Kimipango' na Jwaneng Galaxy nizijumuishe na za leo Usiku nije na Uzi wa Kusema Siri za Upumbavu wote uliopo na unaoendelea Simba SC.

Hivi mmeshindwa nini kwa Kipindi hiki cha mpito tu hata Kumkabidhi Timu Mtani wangu wa 'Kiha' Kocha Selemani Matola akisaidiwa na Musa Hassan Mgosi huku ndani ya Wiki Mbili au Tatu zijazo kabla hatujakutana na Red Arrows ya Zambia muwe mmeshampata Kocha Mkuu na wa uhakika?

Yaani Simba SC kabisa ni ya Kufundishwa na Kocha 'mbovu' Thiery Hitimana ambaye hata tu Wachezaji 'Waandamizi' wa Simba SC na Mmoja wa Kigeni (GENTAMYCINE niliobahatika Kuzungumza nao Kiushkaji wetu) wanasema hakuna Kocha hapo?

Hivi unamfukuzaje Kocha wa Viungo Zrane ambaye 100% ya Wachezaji wa Simba SC si tu wanamkubali pia wanampenda mpaka na Sisi Mashabiki kutokana na Kazi yake Kuonekana halafu unamuacha Mtathmini Mkuu wa Mechi (Team Performance Analyst) wa Simba SC 'Mzimbabwe' ambaye huyu ndiyo Jicho Kuu la Kiufundi na Kiushauri kwa Kocha Mkuu na Benchi zima la Ufundi?

Kudadadeki leo nashangilia Police Tanzania na kwa 'Mkakati' wao walioupanga kwa Kusaidiwa na Yanga SC tokea Jumapili mpaka baadhi ya Wachezaji wao Kusafirishwa 'Kimafia' na Yanga SC kwenda kwa Yule Mganga wao Mahiri wa Nungwi Pemba na kurejea 'kimya kimya' Jana (Jumatatu) Asubuhi Ushindi wa Simba SC leo ni Sare tu ila Kufungwa ni Kukubwa na Mimi nataka leo tufungwe ili 'Mgogoro' mkubwa uibuke (uzuke) tupigane na tuchapane vizuri kwani tumeshachoka Kuvumilia Upumbavu uliopo.
Mightier iko mzigoni
 
Back
Top Bottom