GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni Mwendawazimu ( Mentally Retarded ) na Mpumbavu ( dame Fool ) ndiyo ataamini na atathubutu kusema na kujipa Moyo kuwa Tanzania iliyoko Kundi F huko AFCON 2024 nchini Ivory Coast itaweza kufanya vyema mbele ya Wababe na Wazoefu tukuka wa Soka Afrika akina Morocco, Congo DR na Zambia.
Rais Samia nakushauri ( japo najua Utadanganywa na Kuaminishwa na Wapigaji na Wanafiki unaowaamini na Waliokuzunguka ) kuwa hizo Fedha utakazozitenga kwa ajili ya Taifa Stars achana nazo kwani zinaenda kupotea bure na badala yake zipeleke hizo Fedha kwa Maendeleo ya Sekta zingine Muhimu na zenye Uhitaji kama Afya, Elimu, Kilimo na Usafirishaji.
Kama Tanzania itapata Alama ( Point ) katika Kundi hili F basi ni Moja ( 1 ) tu, ila GENTAMYCINE naona Tanzania kutokupata Alama ( Point ) na itakuwa na mwisho na itapata Alama ( Point ) Sifuri ( 0 ) tu.
Asante CAF kwa kutukomoa Tanzania.