Uchaguzi 2020 Kwa kupinga Uwanja wa Ndege Chato iliyo Geita na kupinga uwepo wa Mbuga, wana Geita wote msimpe Lissu na CHADEMA kura hata moja

Nchi siyo kampuni ama familia 'a country is not a company'
 
Nilitaka nikutukane ila basi nitapigwa ban, Geita na Mwanza wapi kina milima, unaongelea geography wakati sie wenyewe tupo Geita , unapajua Buharahara wewe, unapajua Kasamwa, unapajua Magogo, Unapajua Mshinde sehemu zote nilizozitaja hazina milima na ni chini ya km 25 kufika Geita mjini

Harafu hata Duka la madawa la MSD nalo jiografia inataka liwe kwenye tambarare maana nalo lipo Chato badala ya kuwa kwenye hospital ya rufaa ya mkoa?
 
Kwanza wanageita wanahasira sn na magufuli kuwadharau badala ya kuhangaika na umasikini wao yy anahangaika na mambo ya hovyo eti ndege eti airport chato eti mbuga.... For what?
Jiwe atachapwa sn geita...
 
Usichokijua ni kuwa Geita mjini hatumpendi huyo JPM wako maana hivyo viwanja vya ndege, duka la dawa MSD, TRA, n.k zilipaswa zijengwe Geita mjini lakini huyu meko wako amezipeleka kwake chato, na tangu 2015 mpaka leo Geita mjini huwa anapita tu barabarani hajawahi kuja Kwenye ziara yoyote. Geita tunasema SASA basiiiiiiiiii kila MTU ashinde mechi zake!
 
Mkuu huyu jamaaa ni m.senge Sana, ahadi tu ya magwangala imemshinda anataka nini?? Geita mjini hatuoni sababu yoyote ya kumpa kura magu!
 
Wewe acha uongo kawadanganye wapumbavu tunaenda Geita kila siku na Sengerema kwenda Geita mjini hapo katikati Kuna tambalale ya kufa mtu.


Geita mjini yenyewe hakuna mlima upande wa kushoto kama unaingia kutokea mwanza Labda upande wa kulia

Migodini kule ..

Wadanganye wapumbavu wenzio ambao hawajawai kufika Geita.

Ingekuwa reason milima Baba wa Taifa asingejenga uwanja wa ndege mwanza.
 
Nyerere angejenga uwanja wa Ndege Butiama, Mwinyi ajenge kwao Mkuranga, Mkapa ajenge kijijini Mtwara na Kikwete ajenge uwanja Msoga, hivi kweli hii nchi si ingekuwa kama libya?
Mbona CCM wabinafsi sana?
Chato airport inatua ndege rasi akienda likizo, yaani
 
Another rubbish. Ndio maana tunataka katiba mpya ambayo mtu mmoja hatafanya wananchi wote farasi na yeye kuwa mwendeshaji.

Wazungu wana akili ndio maana waliweka mambo kama Project Right Ups, Feasibility Study, Due Diligence, Detailed Survey na vitu kama hivyo ili kujua Economic Viability ya mradi wowote.

Sasa hii ya mtu mmoja kukurupuka tu na mradi kupeleka kwao eti kisa yeye ni rais ni utumiaji mbaya wa madaraka uliyopitiliza na inafaa rais sampuli hii uko mbele aje aburuzwe mahakama kwa utumiaji mbaya wa madaraka na kujihusisha na vitendo vya kifisadi ili iwe fundisho kwa wengine wenye fikra za kijinga kama hizo.
 
🙏 🙏 Bravo and keep it up.
 
Acha upumbav,Geita kwenyewe ambako ni mkoani hakuna uwanja wa ndege halafu uwanja unaendwa kuwekwa kijijini huko!Unadhani wana Geita wenyewe wamefurahi?Acheni ufala
 

Sorry, sijaisoma post yako, ila kichwa cha habari tu kinatosha kuonesha mrengo wako.
Unafikiri kwa mawazo yako yanaweza kunishawishi kukuunga mkono?
 
Km fc mp.
 
Uongo.mumekuwa mkipinga usijengwe kwenye huo mkoa kila kitu kikifanyika Geita mnapinga lakini kikifanyika kwenu kikimanjaro Hapo sawa !!!

Mumepinga uwanja mukahamia Hadi pirini kupinga mbuga isianzishwe Geita
kwani lissu,Zitto ni wa Kilimanjaro
 
Sawa wamekusikia, kama walikwambia kipaumbele chao ni Uwanja wa ndege.
 
Chadema wanaubagua wazi mkoa kwa kuutaja kwa jina kabisa kuwa Geita haistahili kuwa na uwanja wa ndege Wala mbuga ya wanyama.

Hili suala sijalifuatilia lakini sidhani kama wanapinga uwanja wa ndege kujengwa Geita. Wanachopinga ni kujenga uwanja mkubwa kulinganisha na mahitaji.

Hebu tuambie ni ndege ngapi kubwa zimeshatua kwenye huo uwanja toka umalizike kujengwa?!
 
Acha upumbav,Geita kwenyewe ambako ni mkoani hakuna uwanja wa ndege halafu uwanja unaendwa kuwekwa kijijini huko!Unadhani wana Geita wenyewe wamefurahi?Acheni ufala
Ona sasa zuzu lingine hili hapa!
Kwani Chato ni sehemu ya mkoa upi we mjinga!!
Pumbavu! Na Kura mmepata Sana mwaka huu ni 1m. Pekee, Na Mabeberu sjui mtawalainisha Kwa lugha gani Baada ya wananchi kuwakataa, Rudisheni mshiko Wao! Na muwaambie Tanzania imekataa kuingia mikataba ya kishetani ya kishoga

Wewe mwenyewe huna sababu ya kumnyima Kura Magufuli
 
Wewe una akili ya kuvukia barabara tu,shwain!Karne hii mnadhani mtamdanganya nani na propaganda za kipuuzi?Airport Chato,bandari chato,mbuga Chato,hospitali ya rufaa kuhudumia kanda nzima chato!Kama huu sio umobutu Seseko ni nini?
Kura yangu ni kwa Lissu,maumivu yakizidi kapate ushauri wa daktari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…