Kwa kupoteza hao mateka wanne, HAMAS hawatapata wafungwa 200 kutoka Israel

Kwa kupoteza hao mateka wanne, HAMAS hawatapata wafungwa 200 kutoka Israel

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Masharti ya HAMAS yalikua kwamba kwa kila mateka waliyemshikilia, watamuachia iwapo watapewa magaidi wao 50 walio kwenye magereza ya Israel, sasa hapo wamepoteza wafungwa wanne, hiyo ina maana magaidi 200 wataendelea kuozea Israel.

Mpaka leo sijakaa nielewe faida gani HAMAS walikusudia kwenye huu mtanange, wamesababisha vifo vya Wapalestina karibu 40,000 na mamilioni ya hao Wapalestina wameachwa bila makao baada ya makazi yao yote kusambaratishwa. Hata hao magaidi kwenye magereza ya Israel wakirudi nyumbani watakuta magofu tu.
====================

Hamas said 50 Palestinian prisoners of its choosing – 30 of whom are serving life sentences – should be freed in exchange for the release of one female Israeli reservist held captive in Gaza, sources told Al Jazeera.

The group said in the second phase of the plan a permanent ceasefire must be declared before any exchange of captured soldiers could begin, while the third stage would involve initiating a reconstruction process in Gaza and lifting Israel’s siege on the enclave.


Poleni brazaj
 
kwani si juzi tu hapawazeewa kazi walivamia kambi yenu LGBT na kuongeza mateka wengine wapya,ila naamini watapata replacement ya hao mateka soon
 
Back
Top Bottom