Hii ni mizungushano tu isiyokuwa na maana yoyote.
completely nonsense

The young man has a backbone; he is analytical and level-headed. The nation needs more journalists like Khalifa."
Tatizo ni Samia na genge lake. Tufanye nini?Hii ni mizungushano tu isiyokuwa na maana yoyote.
Sote tunajuwa tatizo kuu la nchi hii sasa hivi ni Samia na Genge lake.
Tunahangaika na vimaneno neno pembeni, wakati tukijuwa tatizo ni nini.
Pascal Mayalla do you agree?The young man has a backbone; he is analytical and level-headed. The nation needs more journalists like Khalifa."
Umesikika vyema, ila jiandae kwa mipasho ya kike, Mr blaaablaa na Luke mshamba.
Tulenge shabaha ipasavyo. Kurusha mishale hovyo hovyo kila mahali bila ya lengo hakusaidii chochote.Tatizo ni Samia na genge lake. Tufanye nini?
AKILI TIMAMU DETECTED
Nadhani wataishia kufungia chombo chake cha habari
Mkuu, Kalamu.Sote tunajuwa tatizo kuu la nchi hii sasa hivi ni Samia na Genge lake.
kama yule dogo alichoma tu picha aliyochora mwenyewe just a picha tu...just a poor little boy...ndio ikawa mwisho wa story tukamsahau..Nadhani wataishia kufungia chombo chake cha habari
Ukisikia Lissu mavi yanakubana Nini?completely nonsense![]()
Kumbukumbu za aina hii zisiachwe zikapotea. Ni lazima tukumbushane maumivu haya tunayopitia wakati wote wa mapambano.kama yule dogo alichoma tu picha aliyochora mwenyewe just a picha tu...just a poor little boy...ndio ikawa mwisho wa story tukamsahau..
sasa yule mtoto alikuwa kama na wewe ni mzazi una mtoto..yule mtoto alifanya kosa gani...si alikuwa wa kumpuuzia tu.