Sure, kuna exception, na mmoja alitakiwa awe jelaNina mpwa wangu alipewa mimba na mwanafunzi mwenzie wote form three. Ikabidi wazazi wa pande zote mbili ndio wabebe jukumu. Màana madogo wenyewe hata hawajielewi. Yaani haya mambo ya mimba ni changamoto sometimes acha tu.
Za kupewa matumiz ya mtoto 50000 😂😂Sheria zipo mkuuu wewe tu huzijui