Kwa kuwa kuzaa nje ya ndoa imekuwa kama fasheni, zitungwe sheria kali za matunzo ya mtoto

Kwa kuwa kuzaa nje ya ndoa imekuwa kama fasheni, zitungwe sheria kali za matunzo ya mtoto

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nashauri serikali ipeleke muswada maalum wa kuwalinda watoto kwa kuwa ni dhahiri muda si mrefu watakuwa waathirika.

Katika Hali ya sasa binadamu wamekuwa kama wanyama pori, bata au kuku, madume yanadunga mimba halafu yanaondoka.

Hii ya kusema single mother ni signal kwamba katika jamii kuna tatizo, na anayeumia ni mtoto

Cc Dkt. Gwajima D
 
safi sana aisee, mtu asaidie ku mtag mheshimiwa waziri 😃😃😃
 
Kumlazimisha mtu alee mtoto uliyepambana nae miezi tisa tumboni nayo ni shida....

Ni kukaza tu na mwanao,mbona Mungu huwa anafungua milango mpaka mnatoboa
 
Nina mpwa wangu alipewa mimba na mwanafunzi mwenzie wote form three. Ikabidi wazazi wa pande zote mbili ndio wabebe jukumu. Màana madogo wenyewe hata hawajielewi. Yaani haya mambo ya mimba ni changamoto sometimes acha tu.
 
Sure, kuna exception, na mmoja alitakiwa awe jela
 
Back
Top Bottom