Saharavoice mambo, sasa Sahara hapo unaona je unatumiwa hadi hiyo mitandao halafu unatupwa kule......ha ha ha
Kaizer labda hicho tunacho luck ndicho kinachofanya kuwe na mwanamke na mwanaume. Sasa si mnaona mnatumia huo udhaifu wetu........? Badala ya kutusaidia mnatutumia, wengine wanawatumia hadi wake zao yani, kama chombo cha kumzalia watoto tu, na kumlelea watoto, lakini hana muda wala hajali afya na furaha ya huyu mwanamke.
Eiyer mi naonaga wanaume wana akili sana, haiwezekani wakatumiwa tu hivi hivi, kila atakacho kitoa anajua ni wapi atakifidia, mmmh mwanaume atakupa hata gari lakini ujue mahesabu yake kashayapiga na lazima ulipe tuuu. Mmmh umtumie mwanaume hii msichana asijidanganye. Unajengewa nyumba unatumiwa hadi tigo.....mmmh wanaume fire of dreaming far.....
Hapa tunatumiana hakuna wanaowatumia wenzao zaidi.....
Ahahahaah!! Si hivyo mkuu, juzi nilikuwa nasuluhisha ishu ya rafiki yangu na mpenzi wake, bibie muda wote analalamika tu, "amepata alichokuwa anakitaka", mara "kanichezea".
Eiyer mi naonaga wanaume wana akili sana, haiwezekani wakatumiwa tu hivi hivi, kila atakacho kitoa anajua ni wapi atakifidia, mmmh mwanaume atakupa hata gari lakini ujue mahesabu yake kashayapiga na lazima ulipe tuuu. Mmmh umtumie mwanaume hii msichana asijidanganye. Unajengewa nyumba unatumiwa hadi tigo.....mmmh wanaume fire of dreaming far.....
Aahaaaa!Hawa wa jinsia ya "ke"
Asalam aleikum wakubwa na wadogo katika jf,nimekuwa msomaji wa mada na ushauri unaotolewa na wana jf kwa muda bila kujiunga,sasa naomba kuwa mmoja wenu,natumahi nitajifunza zaidi kupitia JF.AksanteniAfu kuna kauli nyingine ya ,,"ulikua unanichezea tu".ina maana nyie huwa hamtuchezeagi?
kweli kaka wa2 hawambiani ukweli mpaka wanafikia huko hasa dada zetu wanabweteka na pesa,magari etc.Mkataba ndio suluhisho,kwasababu yote yanategemeana na mlivyokubaliana tangia mwanzo.kama mahusiano yalilenga kuwa wachumba,marafiki wa kalamu,marafiki wa kutumiana sms,marafiki wa kula maraha,marafiki wa kupigiana simu,marafiki wa kusafiri pamoja.marafiki wakutoka out,marafiki wa kwenda out,marafiki wa kibiashara,marafiki wa kusoma pamoja,marafiki wa kuamua kesi/kusuhisha watu wengine.tabu ni pale mmoja anapokuwa tegemezi wa pesa,mali na akili,mapenzi .wengi huwa hawakubali mabadiliko.suala la kusema umepata ulichokuwa unataka,umeshatosheka ni mawazo duni tu.nadhani kila kitu kiwe wazi tangia mwanzo kuepusha yote haya
Ahahahaah!! Si hivyo mkuu, juzi nilikuwa nasuluhisha ishu ya rafiki yangu na mpenzi wake, bibie muda wote analalamika tu, "amepata alichokuwa anakitaka", mara "kanichezea".