"Kwa kuwa umepata ulichokuwa unakitaka"

"Kwa kuwa umepata ulichokuwa unakitaka"

Hapa tunatumiana hakuna wanaowatumia wenzao zaidi.....
 
Kaizer labda hicho tunacho luck ndicho kinachofanya kuwe na mwanamke na mwanaume. Sasa si mnaona mnatumia huo udhaifu wetu........? Badala ya kutusaidia mnatutumia, wengine wanawatumia hadi wake zao yani, kama chombo cha kumzalia watoto tu, na kumlelea watoto, lakini hana muda wala hajali afya na furaha ya huyu mwanamke.
 
Katavi hebu sema mwanamke anakutumia je wewe? Sema tu vile ambavyo umewahi kutumiwa na mwanamke labda.
 
Kaizer labda hicho tunacho luck ndicho kinachofanya kuwe na mwanamke na mwanaume. Sasa si mnaona mnatumia huo udhaifu wetu........? Badala ya kutusaidia mnatutumia, wengine wanawatumia hadi wake zao yani, kama chombo cha kumzalia watoto tu, na kumlelea watoto, lakini hana muda wala hajali afya na furaha ya huyu mwanamke.

Kukosa objectivity ni kwa pande zote LD....
 
Ok Kaizer walau hivyo.......
 
Kuna nyingine hii pia..............kwa kuwa umeona si umuhimu tena kwako.........ilhali yeye hajawahi kuthibitishia wala kukuonyesha umuhimu wako kwake na ndio maana huenda mmefikia mlipofika!
 
Eiyer mi naonaga wanaume wana akili sana, haiwezekani wakatumiwa tu hivi hivi, kila atakacho kitoa anajua ni wapi atakifidia, mmmh mwanaume atakupa hata gari lakini ujue mahesabu yake kashayapiga na lazima ulipe tuuu. Mmmh umtumie mwanaume hii msichana asijidanganye. Unajengewa nyumba unatumiwa hadi tigo.....mmmh wanaume fire of dreaming far.....

Jee? wazungumza kutokana na experience au?
 
Ahahahaah!! Si hivyo mkuu, juzi nilikuwa nasuluhisha ishu ya rafiki yangu na mpenzi wake, bibie muda wote analalamika tu, "amepata alichokuwa anakitaka", mara "kanichezea".

Tatizo ni kuwa wanawake wanaamini kuwa penzi (ngono), ndio kila kitu mwanaume anachokitaka, no ni zaidi ya hapo. sasa akikosa vingine, hata kama amepata penzi, inabid aquit.
 
Eiyer mi naonaga wanaume wana akili sana, haiwezekani wakatumiwa tu hivi hivi, kila atakacho kitoa anajua ni wapi atakifidia, mmmh mwanaume atakupa hata gari lakini ujue mahesabu yake kashayapiga na lazima ulipe tuuu. Mmmh umtumie mwanaume hii msichana asijidanganye. Unajengewa nyumba unatumiwa hadi tigo.....mmmh wanaume fire of dreaming far.....

hahaahhaaaa... LD Bwana.umenichekesha sana hapo kwenye nyekundu.!!!!!!!! naona mafunzo kwa njia ya burudani sio?
 
Mkataba ndio suluhisho,kwasababu yote yanategemeana na mlivyokubaliana tangia mwanzo.kama mahusiano yalilenga kuwa wachumba,marafiki wa kalamu,marafiki wa kutumiana sms,marafiki wa kula maraha,marafiki wa kupigiana simu,marafiki wa kusafiri pamoja.marafiki wakutoka out,marafiki wa kwenda out,marafiki wa kibiashara,marafiki wa kusoma pamoja,marafiki wa kuamua kesi/kusuhisha watu wengine.tabu ni pale mmoja anapokuwa tegemezi wa pesa,mali na akili,mapenzi .wengi huwa hawakubali mabadiliko.suala la kusema umepata ulichokuwa unataka,umeshatosheka ni mawazo duni tu.nadhani kila kitu kiwe wazi tangia mwanzo kuepusha yote haya
 
Afu kuna kauli nyingine ya ,,"ulikua unanichezea tu".ina maana nyie huwa hamtuchezeagi?
Asalam aleikum wakubwa na wadogo katika jf,nimekuwa msomaji wa mada na ushauri unaotolewa na wana jf kwa muda bila kujiunga,sasa naomba kuwa mmoja wenu,natumahi nitajifunza zaidi kupitia JF.Aksanteni
 
Karibu sana Mpemba asilia.
 
Mkataba ndio suluhisho,kwasababu yote yanategemeana na mlivyokubaliana tangia mwanzo.kama mahusiano yalilenga kuwa wachumba,marafiki wa kalamu,marafiki wa kutumiana sms,marafiki wa kula maraha,marafiki wa kupigiana simu,marafiki wa kusafiri pamoja.marafiki wakutoka out,marafiki wa kwenda out,marafiki wa kibiashara,marafiki wa kusoma pamoja,marafiki wa kuamua kesi/kusuhisha watu wengine.tabu ni pale mmoja anapokuwa tegemezi wa pesa,mali na akili,mapenzi .wengi huwa hawakubali mabadiliko.suala la kusema umepata ulichokuwa unataka,umeshatosheka ni mawazo duni tu.nadhani kila kitu kiwe wazi tangia mwanzo kuepusha yote haya
kweli kaka wa2 hawambiani ukweli mpaka wanafikia huko hasa dada zetu wanabweteka na pesa,magari etc.
 
Ahahahaah!! Si hivyo mkuu, juzi nilikuwa nasuluhisha ishu ya rafiki yangu na mpenzi wake, bibie muda wote analalamika tu, "amepata alichokuwa anakitaka", mara "kanichezea".

duh ndugu yako ana kazi...yeye kama vipi angesepa kimya kimya tu, wakiwa kule kwani si wote wanachezeana au? Kila mtu hupata roho penda..
 
Back
Top Bottom