Mkuu umeshauri vizuri ila so vyema ushauri wako ukitekelezwa huwa zipo kauli nazionaga hum kwamba mtumishi wa umma ambaye haoni stahili zake hazimtoshi basi haache kazi wapo wasomi wengi kwa iyo nivyema mahamuzi yao kuheshimiwaHawa watumishi wa umma wanataka kushindana na serikali.
Kumekuwa na wimbi kubwa la kada ya watumishi wa umma kuacha kazi kutokana na hofu, hawa wamepewa mafunzo kazini kwa gharama kubwa na wengi ni wa kada za juu ambao wana nia ya kuvuruga succession plan ambayo kama nchi, gharama kubwa imetumika kutengeneza succession plan.
Njia pekee ya kuwazuia ni kuhakikisha malipo yao baada ya kuacha kazi yasipatikane kirahisi, yachukue hata miaka miwili kupatikana, hii itazuia wale waliokuwa na nia ya kuwafata wenzao katika wimbi la kukimbia utumishi wa umma waache.
Nawasilisha.
Nadhani unahitaji kupimwa akiliHawa watumishi wa umma wanataka kushindana na serikali.
Kumekuwa na wimbi kubwa la kada ya watumishi wa umma kuacha kazi kutokana na hofu, hawa wamepewa mafunzo kazini kwa gharama kubwa na wengi ni wa kada za juu ambao wana nia ya kuvuruga succession plan ambayo kama nchi, gharama kubwa imetumika kutengeneza succession plan.
Njia pekee ya kuwazuia ni kuhakikisha malipo yao baada ya kuacha kazi yasipatikane kirahisi, yachukue hata miaka miwili kupatikana, hii itazuia wale waliokuwa na nia ya kuwafata wenzao katika wimbi la kukimbia utumishi wa umma waache.
Nawasilisha.
Mtu aliyetoka kukaririshwa notice huwezi kumpa ofisi kabla ya kumchuja,wengine ni viaziSi ndio vizuri wakiacha kwa hiari yao wengine wapate ili kupunguza tatizo la ajira.,?
Ukiona mtu anaacha kazi kipindi hiki jua anakimbia mkono wa sheria. Keshapiga sana muda wa kufichuliwa bado haujafika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna DC kaacha kazi?
Sio kweli kwamba kila anayeacha kazi anakuwa kapiga.Kuna mwalimu mmoja kanifundisha primary amestafu kwa hiari,na sio kwamba kaiba hapana.Ila presha ya kazi imemfanya aache.Yeye ni mfanyabiashara pia kaamua kusimamia biashara zake.Mke wake ndo Bado mratibu elimu kata.Si ndio vizuri wakiacha kwa hiari yao wengine wapate ili kupunguza tatizo la ajira.,?
Ukiona mtu anaacha kazi kipindi hiki jua anakimbia mkono wa sheria. Keshapiga sana muda wa kufichuliwa bado haujafika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Stupid!Hawa watumishi wa umma wanataka kushindana na serikali.
Kumekuwa na wimbi kubwa la kada ya watumishi wa umma kuacha kazi kutokana na hofu, hawa wamepewa mafunzo kazini kwa gharama kubwa na wengi ni wa kada za juu ambao wana nia ya kuvuruga succession plan ambayo kama nchi, gharama kubwa imetumika kutengeneza succession plan.
Njia pekee ya kuwazuia ni kuhakikisha malipo yao baada ya kuacha kazi yasipatikane kirahisi, yachukue hata miaka miwili kupatikana, hii itazuia wale waliokuwa na nia ya kuwafata wenzao katika wimbi la kukimbia utumishi wa umma waache.
Nawasilisha.
Hujawahi hata kuwa mtumishi wa ndani utajua nini mpiga zumari wa kijani?Si ndio vizuri wakiacha kwa hiari yao wengine wapate ili kupunguza tatizo la ajira.,?