Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,112
- 2,400
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mkuu huheshimu watumishi wa umma kabisa unataka uwatumie kana kwamba wao ni watumwa unaweza kuwafanya utakalo. Kwenye uchumi kuna kitu kinaitwa incentives na ina aminika kuwa binadamu ni rational na matendo yao yanaendana na incetives unaowapa.Hawa watumishi wa umma wanataka kushindana na serikali.
Kumekuwa na wimbi kubwa la kada ya watumishi wa umma kuacha kazi kutokana na hofu, hawa wamepewa mafunzo kazini kwa gharama kubwa na wengi ni wa kada za juu ambao wana nia ya kuvuruga succession plan ambayo kama nchi, gharama kubwa imetumika kutengeneza succession plan.
Njia pekee ya kuwazuia ni kuhakikisha malipo yao baada ya kuacha kazi yasipatikane kirahisi, yachukue hata miaka miwili kupatikana, hii itazuia wale waliokuwa na nia ya kuwafata wenzao katika wimbi la kukimbia utumishi wa umma waache.
Nawasilisha.