Kwa kuwa watumishi wa umma wanajifanya kuacha kazi kwa kasi kubwa kutokana na hofu serikali izuie /isamamishe malipo yao yanachelewa ili wasiache kazi

Naona mkuu huheshimu watumishi wa umma kabisa unataka uwatumie kana kwamba wao ni watumwa unaweza kuwafanya utakalo. Kwenye uchumi kuna kitu kinaitwa incentives na ina aminika kuwa binadamu ni rational na matendo yao yanaendana na incetives unaowapa.
Jiulize kwa nini kuwe na wimbi la wafanyikazi kutaka kuustafu wakati ni miaka michache wengi walitaka waendelee na kuendelea na ukiwapa contract walifurahi.
Hao ni watanzania hawastahili kutendewa mambo ya kudhalilisha utu wao. Tafakari tena ulichobandika hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…